Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmbwaaUtamkuta nayo dogo mkaldayo Chaliifrancisco akichezea chini ya mti huku kaning'iniza poumbou mbusii wamemzunguka.
🤣Mtu kubeba Iphone fake ili kukoga watu mbona ni ujinga sana?
aZile siyo Iphone. Na ni rahisi sana kuzijua kwa kungalia tu haiba ya mwenye simu.
Umepigwa?.Nimeshangaa sana kuna hadi iphone za laki moja na sabini.
Bora zingepigwa marufuku Tanzania.
Pia soma: Huu utitiri wa iPhone 13 copy zinazouzwa laki 3 Dar zinatoka wapi?
Zingetolewa simu za zinazofanana na iphone lakini zipewe jina lingine.
Kufanya hivyo kutaongeza utapeli hapa nchini.