Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mlitaka muwe unique watu flan wenye hadhi yao lakini mchina kawagalagaza iphone users mnapenda status sanNimeshangaa sana iphone wanatoa hadi iphone za laki moja na sabini.
Bora zingepigwa marufuku Tanzania.
Zingetolewa simu za zinazofanana na iphone lakini zipewe jina lingine.
Kufanya hivyo kutaongeza utapeli hapa nchini.
Hizo siyo Iphone. Ni simu zenye makasha yanayofanana na Iphone.Nimeshangaa sana kuna hadi iphone za laki moja na sabini.
Bora zingepigwa marufuku Tanzania.
Pia soma: Huu utitiri wa iPhone 13 copy zinazouzwa laki 3 Dar zinatoka wapi?
Zingetolewa simu za zinazofanana na iphone lakini zipewe jina lingine.
Kufanya hivyo kutaongeza utapeli hapa nchini.
Mtu kubeba Iphone fake ili kukoga watu mbona ni ujinga sana?Mlitaka muwe unique watu flan wenye hadhi yao lakini mchina kawagalagaza iphone users mnapenda status san
Copy au used/ refurbished? Iphone hawajaruhusu copy officialy, ni moja ya kampuni chache ambazo mfumo wake haujawa copied na hawaruhusu kuwa copied to date. Ni close sourceNimeshangaa sana kuna hadi iphone za laki moja na sabini.
Bora zingepigwa marufuku Tanzania.
Pia soma: Huu utitiri wa iPhone 13 copy zinazouzwa laki 3 Dar zinatoka wapi?
Zingetolewa simu za zinazofanana na iphone lakini zipewe jina lingine.
Kufanya hivyo kutaongeza utapeli hapa nchini.
Zile siyo Iphone. Na ni rahisi sana kuzijua kwa kungalia tu haiba ya mwenye simu.Nani kakwambia ni wao wanaruhusu? Kampuni ambayo hata ukikopy mfuko wao wa Rambo wanakushtaki itaruhusu copy ya simu zake?
Hizo simu zinatoka China ambalo hakuna Sheria za kukakataza ku copy. Na Apple hawapo Official Tanzania hawawezi ku enforce chochote kwetu
Ni copy, zinaitwa high copyCopy au used/ refurbished? Iphone hawajaruhusu copy officialy, ni moja ya kampuni chache ambazo mfumo wake haujawa copied na hawaruhusu kuwa copied to date. Ni close source
So kuwa specific mtoa mada
Acha tu ziuzwe copy simu za kishoga hiziNimeshangaa sana kuna hadi iphone za laki moja na sabini.
Bora zingepigwa marufuku Tanzania.
Pia soma: Huu utitiri wa iPhone 13 copy zinazouzwa laki 3 Dar zinatoka wapi?
Zingetolewa simu za zinazofanana na iphone lakini zipewe jina lingine.
Kufanya hivyo kutaongeza utapeli hapa nchini.
Utaijuaje na wakati kitu ni typical kabisaMtu kubeba Iphone fake ili kukoga watu mbona ni ujinga sana?
Wauze tu kila mtu apate, tena ndani ya miaka mitatu ijayo hakuna mtu atanunua iphone ya 3M wakati ipo ya laki 3 with same looks.Acha tu ziuzwe copy simu za kishoga hizi
Mkuu. Vitu fake vimekuwepo tangu. eg mikufu ya dhahabu fake imekuwepo na haijawahi kuua soko la dhahabu genuine. Hata ukiibeba utakuwa unajishtukia mwenyewe tu. Hapo ndipo watu wajajua.Utaijuaje na wakati kitu ni typical kabisa
Zina run ios?Ni copy, zinaitwa high copy
Ila wewe jamaa weweee.Zile siyo Iphone. Na ni rahisi sana kuzijua kwa kungalia tu haiba ya mwenye simu.
Utamkuta nayo dogo mkaldayo Chaliifrancisco akichezea chini ya mti huku kaning'iniza poumbou mbusii wamemzunguka.Zile siyo Iphone. Na ni rahisi sana kuzijua kwa kungalia tu haiba ya mwenye simu.