Wakati mwingine tunapigwa changa kwa kujazwa ujinga. Israel inaaminika iko juu kiuslama na kijeshi. Je ilikuwaje ikashindwa kuwaokoa mateka wake kwenye eneo dogo kama hili tena lisilo na nchi wala jeshi? Wazungu wamejua kututenda kwa kutujaza ujinga na woga.
Ndiyo raha ya jf, unabonyeza key board basi unadhani unajua kila kitu.
Endeleeni kulia kichapo mlichochapwa sio kidogo nchi saba kote magaidi yamepigwa.