Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Naunga mkono hojaNimefatilia hizi teuzi za hivi karibuni za kisiasa. Na nikapitia maoni kadhaa ya wadau.
Nikagundua kuwa huenda mamlaka za uteuzi zimefikiria kuwa Kanda ya ziwa inaitaji mtu 'wao' Ili kuwin kura za Kanda hiyo.
Na ndio ukafanyika huo uteuzi wa naibu wa mawaziri wote.
Lakini kama issue ilikuwa ni kuiwini Ile Kanda pendwa alitakiwa mtu mwenye ushawishi mkubwa Kariba ya Mpina
Hapo Bwana Paschal una maana gani?Naunga mkono hoja
Kwenye siasa zetu, kuna vitu vipo lakini havisemwi mfano hili la kanda determinant!
P
Ingekuwa vizuri huyo Mpina aliyepita ubunge Kwa mbeleko ahamie Chadema Ili tuone mtakavyo win via yeye.Nimefatilia hizi teuzi za hivi karibuni za kisiasa. Na nikapitia maoni kadhaa ya wadau.
Nikagundua kuwa huenda mamlaka za uteuzi zimefikiria kuwa Kanda ya ziwa inaitaji mtu 'wao' Ili kuwin kura za Kanda hiyo.
Na ndio ukafanyika huo uteuzi wa naibu wa mawaziri wote.
Lakini kama issue ilikuwa ni kuiwini Ile Kanda pendwa alitakiwa mtu mwenye ushawishi mkubwa Kariba ya Mpina
Kwenye umeme mmedobanga sanaSawa MPINA tumekusikia,ila tuhakikishie kama hutapima samaki walopikwa kwa rula
Kuhusu huyo Mpina usahau kabisa!! alichowafanya watu wa Kanda ziwa kipindi waziri wa Uvuvi, hawajamusahau!! 2025 Hana chake, ndio maana ameanza kujifanya anaikosoa Selikari ili kutudanganya!! tuna msubiri 2025.Nimefatilia hizi teuzi za hivi karibuni za kisiasa. Na nikapitia maoni kadhaa ya wadau.
Nikagundua kuwa huenda mamlaka za uteuzi zimefikiria kuwa Kanda ya ziwa inaitaji mtu 'wao' Ili kuwin kura za Kanda hiyo.
Na ndio ukafanyika huo uteuzi wa naibu wa mawaziri wote.
Lakini kama issue ilikuwa ni kuiwini Ile Kanda pendwa alitakiwa mtu mwenye ushawishi mkubwa Kariba ya Mpina
Mpina yupi? Kama unamaanisha Luhaga aliyewapa umasikini Wavuvi Kwa kutoboa mitumbwi yao unajidanganya. Hakuna aliyesahau unyama wa Askari wa Mpina kanda ya ziwa.Nimefatilia hizi teuzi za hivi karibuni za kisiasa. Na nikapitia maoni kadhaa ya wadau.
Nikagundua kuwa huenda mamlaka za uteuzi zimefikiria kuwa Kanda ya ziwa inaitaji mtu 'wao' Ili kuwin kura za Kanda hiyo.
Na ndio ukafanyika huo uteuzi wa naibu wa mawaziri wote.
Lakini kama issue ilikuwa ni kuiwini Ile Kanda pendwa alitakiwa mtu mwenye ushawishi mkubwa Kariba ya Mpina
Wewe ni Mwongomwongo Sana lakini Kwa hili la Mpina kupita Kwa mbeleko uko sahihi 100%. Uchaguzi ulitangazwa Mpinzani kashinda watu wakaingia mitaani kushangilia, huku nyuma Luhaga katangazwa CCM nao wakaingia kushangilia. Uhuni uliofanyika Kisesa sidhani kama hata Mbeya Of mjini waliufikia.Ingekuwa vizuri huyo Mpina aliyepita ubunge Kwa mbeleko ahamie Chadema Ili tuone mtakavyo win via yeye.
Siku hizi hakuna kanda determinant, vyombo vya Dola, kundi la wahuni wajiitao system, na tume isiyo huru ya uchaguzi ndio zinazoamua. Labda yatokee machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi kisha kupelekea chaguzi kuheshimiwa, na wananchi wengi kurejesha Imani kwenye box la kura, hapo ndio hiyo Kanda determinant itakuwa na impact.Naunga mkono hoja
Kwenye siasa zetu, kuna vitu vipo lakini havisemwi mfano hili la kanda determinant!
P
Wataje wanaomzidi Dotto Biteko, vinginevyo najiandaa kukuita "huhuhu!"Wenye ushawishi kanda ya ziwa wapo
Nimefatilia hizi teuzi za hivi karibuni za kisiasa. Na nikapitia maoni kadhaa ya wadau.