Kama Italy ndo wanakosa kwenda Russia 2018 basi round hii world cup Haina maana

Tuendelee tu kuwa watazmaj
Nasikitika sana ile timu ya U17 nadhan ni ngoro ngoro heros, sijui imeishia wapi. Vipaji kama vile ndo vya kuendeleza, nahisi tunakosa sana vipaumbele. Sijui kwanini hatushiki moja tukakomaa nalo hadi mwisho. Hata tukishindwa turudie, na tuwekeze kweli kweli. Sisi kila kitu tunataka ndo maana tunakosa yote, ukiachilia mbali kiki wanazotafuta watu kuonekana wao ndo wamefanikisha jambo fulani, na wengine wako pale kuwavurugia.
Bado kuna Usimba na Uyanga.
Matokeo mazuri kimpira waliyonayo wenzetu ni matokeo ya uwekezaji wa muda mrefu na kuvumiliana hata katika matokeo mabovu ya mwanzoni, sisi tuna mihemko mingi na mikubwa kutaka mafanikio makubwa mahali ambapo hatujawekeza wala kuhesabu gharama. Nasikitika sana.
Na hayo yanaoneka kwenye siasa vile vile, kila Rais anakuja na mpango wake anaacha yote mtangulizi wake aliyoyaacha matokeo yake ni kuanza upya, gharama mpya, muda unaenda, rasimali zinapotea, maendeleo kiduchu. Dah, kweli this is Africa! So sad!
Sishangai sana kwanini hatusongi mbele kwenye michezo, nasikitika tu nchi yangu [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
 
True that mkuu ukisema Cho
Tff imekua n ya usimba na yanga
Na ubinafsi mbele yake kuwekeza
hawatak nawanataka mafanikio hayo
Mafanikio yatakujaje kama kaz yao


N kuota tu vitambi pamoja na serikal
Yao cha maana wanachofanya hakuna
Tutaendelea tu kuwa watazamaji mpaka
Mwisho wa dunia
 
Siamini kama sitamwona Buffon world cup 2018.Yaani kina Del piero wanatamani warudi uwanjani.
Dhaaa!! acha kabsa mkuu yan
Hata mm siamin naona Kama n
Ndoto hii naiyona mchana

Naiombea sana Italy ishinde
kesho
 
MKUU ITALY ATAFUZU. HATA ARGENTINA ALIKUWA HOI.

MKONGWE, MKONGWE TU.

KWAHERI
[HASHTAG]#CHILE[/HASHTAG]
[HASHTAG]#NETHERLAND[/HASHTAG]
[HASHTAG]#USA[/HASHTAG]

BINGWA [HASHTAG]#BRAZIL[/HASHTAG]
 
MKUU ITALY ATAFUZU. HATA ARGENTINA ALIKUWA HOI.

MKONGWE, MKONGWE TU.

KWAHERI
[HASHTAG]#CHILE[/HASHTAG]
[HASHTAG]#NETHERLAND[/HASHTAG]
[HASHTAG]#USA[/HASHTAG]

BINGWA [HASHTAG]#BRAZIL[/HASHTAG]
Kabsa mkuu ngoja tuzd kuwaombeaa
 
kuna jamaa alileta uzi hapa kuhusu Italy ya mwaka 2006 iliyobeba taji la dunia.

Nadhani toka Italy ile ya mwaka 2006 hawakuwa na kikosi kingine cha maana sanasana wanafuzu World cup na kuishia hatua ya makundi.

Nadhani ni wakati sahihi wao kupanga na kuandaa kizazi kipya, kwahiyo hata wasipofuzu ni sawa tu, maana hawana jipya.
 
Italy ndio hawana maana uwezo Mdogo ikumbukwe history haichezi
 

Mkuu kwanini msimuite Super Mario (Mario Balloteli)
 
Yan. Inaskitisha sana kuona nchi kama Italy

Mimi nasikitika sana kuona timu kama Ivory Coast, Ghana, DRC hawatakuwepo. Uganda wamejitahidi sana. Hongera kwa Nchi zote zilizofanikiwa.
 
Kila zama na kitabu chake baada ya ushindi wa 2006 wakaanza kipindi cha mpito hali hii hutokea mara nyingi kwa timu za taifa ama vilabu ila wasipo wekeza penye kuibua vipaji watasahaulika mazima. Vizazi vile vya kina dino zoff Franco baresi Paulo ross akina Dino na roberto baggio kina Serena geussepe signori mpaka canavaro gigi Nesta maldini kina Vieri kimepita watengeneze muendelezo.
 
Mimi nasikitika sana kuona timu kama Ivory Coast, Ghana, DRC hawatakuwepo. Uganda wamejitahidi sana. Hongera kwa Nchi zote zilizofanikiwa.
Ivory coast nae anafungwa na
Morocco dhaaa soka halina adabu
Tena nyumban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…