Allen Theonest
JF-Expert Member
- Jun 18, 2017
- 400
- 491
Ni kilio chetu cha samaki...Ndo hapo Sasa hata kushiriki
Tumeshindwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kilio chetu cha samaki...Ndo hapo Sasa hata kushiriki
Tumeshindwa
Nasikitika sana ile timu ya U17 nadhan ni ngoro ngoro heros, sijui imeishia wapi. Vipaji kama vile ndo vya kuendeleza, nahisi tunakosa sana vipaumbele. Sijui kwanini hatushiki moja tukakomaa nalo hadi mwisho. Hata tukishindwa turudie, na tuwekeze kweli kweli. Sisi kila kitu tunataka ndo maana tunakosa yote, ukiachilia mbali kiki wanazotafuta watu kuonekana wao ndo wamefanikisha jambo fulani, na wengine wako pale kuwavurugia.Tuendelee tu kuwa watazmaj
True that mkuu ukisema ChoNasikitika sana ile timu ya U17 nadhan ni ngoro ngoro heros, sijui imeishia wapi. Vipaji kama vile ndo vya kuendeleza, nahisi tunakosa sana vipaumbele. Sijui kwanini hatushiki moja tukakomaa nalo hadi mwisho. Hata tukishindwa turudie, na tuwekeze kweli kweli. Sisi kila kitu tunataka ndo maana tunakosa yote, ukiachilia mbali kiki wanazotafuta watu kuonekana wao ndo wamefanikisha jambo fulani, na wengine wako pale kuwavurugia.
Bado kuna Usimba na Uyanga.
Matokeo mazuri kimpira waliyonayo wenzetu ni matokeo ya uwekezaji wa muda mrefu na kuvumiliana hata katika matokeo mabovu ya mwanzoni, sisi tuna mihemko mingi na mikubwa kutaka mafanikio makubwa mahali ambapo hatujawekeza wala kuhesabu gharama. Nasikitika sana.
Na hayo yanaoneka kwenye siasa vile vile, kila Rais anakuja na mpango wake anaacha yote mtangulizi wake aliyoyaacha matokeo yake ni kuanza upya, gharama mpya, muda unaenda, rasimali zinapotea, maendeleo kiduchu. Dah, kweli this is Africa! So sad!
Sishangai sana kwanini hatusongi mbele kwenye michezo, nasikitika tu nchi yangu [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Tuna "vita ya kiuchumi" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mb
mbona Tanzania hakuna vita lakini hatujawahi kufuzu hata kombe la Africa
waitaliano hatuna striker mwaka huu
kipindi hicho tunachagua aanze nani hatu tutamuweka nani tupo vibaya sana waitaliano
striker wetu kwa pamoja tulikuwa na
Captain dela Roma yote
Francesco Totti
Philipo Pippo Inzagh
Alessandro Del Pietro
Alberto Gilardino
Laquinta
chagua wa kuanza ila tunashinda tu
Yan. Inaskitisha sana kuona nchi kama Italy
Ivory coast nae anafungwa na
Morocco dhaaa soka halina adabu
Tena nyumban