BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Ivory coast nae anafungwa na
Morocco dhaaa soka halina adabu
Tena nyumban
bingwa brazil huko
Mkuu labda hukuangalia mechi alizocheza. Yaani Italy ya kipindi hiki wana mpira wa ovyo, ni ngumu kufuzu. Kwanzia wachezaji na kocha wao wote hamna kituMKUU ITALY ATAFUZU. HATA ARGENTINA ALIKUWA HOI.
MKONGWE, MKONGWE TU.
KWAHERI
[HASHTAG]#CHILE[/HASHTAG]
[HASHTAG]#NETHERLAND[/HASHTAG]
[HASHTAG]#USA[/HASHTAG]
BINGWA [HASHTAG]#BRAZIL[/HASHTAG]
Wewe ni muitaliano?waitaliano hatuna striker mwaka huu
kipindi hicho tunachagua aanze nani hatu tutamuweka nani tupo vibaya sana waitaliano
striker wetu kwa pamoja tulikuwa na
Captain dela Roma yote
Francesco Totti
Philipo Pippo Inzagh
Alessandro Del Pietro
Alberto Gilardino
Laquinta
chagua wa kuanza ila tunashinda tu
Na anaweza akachukua ndoo 2018.mtaliano alivyo mtata... world cup russia lazima awepo...
na alivyo mtukutu unaweza muona hadi nusu fainali akafika..
huyo sweden ajiandae hiyo j 3
hahahamb
mbona Tanzania hakuna vita lakini hatujawahi kufuzu hata kombe la Africa
Sasa round hii weus n kamaMorocco sio timu ndogo. Tena am very happy kuona wameshinda,,hao pipi za ivory wangeenda kutuaibisha tu. bora waarabu watuwakilishe world cup.
Italy na german haya mataifa hayasomeki, wanaweza wakawa na form mvaya ila husapraiz watu.Dhaa hatar sana aiseeee
Yes Yes...Siamini kama sitamwona Buffon world cup 2018.Yaani kina Del piero wanatamani warudi uwanjani.
pure kabisaWewe ni muitaliano?