Kama Italy ndo wanakosa kwenda Russia 2018 basi round hii world cup Haina maana

Kama Italy ndo wanakosa kwenda Russia 2018 basi round hii world cup Haina maana

Nasikitika mno endapo italy watakosa world cup. But all in all King na jeshi lake wanaenda kulibeba,,
 
MKUU ITALY ATAFUZU. HATA ARGENTINA ALIKUWA HOI.

MKONGWE, MKONGWE TU.

KWAHERI
[HASHTAG]#CHILE[/HASHTAG]
[HASHTAG]#NETHERLAND[/HASHTAG]
[HASHTAG]#USA[/HASHTAG]

BINGWA [HASHTAG]#BRAZIL[/HASHTAG]
Mkuu labda hukuangalia mechi alizocheza. Yaani Italy ya kipindi hiki wana mpira wa ovyo, ni ngumu kufuzu. Kwanzia wachezaji na kocha wao wote hamna kitu
 
waitaliano hatuna striker mwaka huu
kipindi hicho tunachagua aanze nani hatu tutamuweka nani tupo vibaya sana waitaliano

striker wetu kwa pamoja tulikuwa na
Captain dela Roma yote
Francesco Totti
Philipo Pippo Inzagh
Alessandro Del Pietro
Alberto Gilardino
Laquinta

chagua wa kuanza ila tunashinda tu
Wewe ni muitaliano?
 
Hatupeleki majina kule bali viwango vilivyo bora. Mwisho utadai kwamba "msimu huu team za Africa zinazikwenda kule hazina maana" kisa tu Cameroun na Ghana wametupwa kulee na huku zina majina makubwa
 
Wengi hudhani kuwa magwiji viwango vimeshuka waqt mwingine tunasahau kuwa timu za chini zinafanya juhudi na kuwekeza tizama ile ilokuwa yugoslavia kama mpaka leo vipaji vingekuwaje maana kati ya hawa vishoka tunatoa watu wa kati murua sana kovasic perisic huku mbabe wao modric yote hiyo kuanzia Croatia nenda Serbia mpaka slovenia ina maana waliwekeza vipaji. Sasa kama tutakariri tu kuwa oooh hii timu kubwa watuonyeshe ukongwe wao uwanjani na si huruma ya mashabiki na kusema kombe la dunia bila Italy au nani sijui halinogi
 
duuu nimemiss now baggio,cross the ball to paulo maldin ohhh nesta now he is very strong ,inzagi to penalt box gooooo Itay 1 Romania 0
Dhaa hatar sana aiseeee
 
Mkuu labda hukuangalia mechi alizocheza. Yaani Italy ya kipindi hiki wana mpira wa ovyo, ni ngumu kufuzu. Kwanzia wachezaji na kocha wao wote hamna kitu
Haa haa haa dhaaa Sasa wanakula
tu mshahara wa bure
 
Morocco sio timu ndogo. Tena am very happy kuona wameshinda,,hao pipi za ivory wangeenda kutuaibisha tu. bora waarabu watuwakilishe world cup.
Sasa round hii weus n kama
Tutawakikishwa na mmoja tu au wawili
Na hao waarabu waende wakiwa wa 3
 
Yes Y
Siamini kama sitamwona Buffon world cup 2018.Yaani kina Del piero wanatamani warudi uwanjani.
Yes Yes...
Alesandro nesta,Alesandro del piero,Luigi di biagio,demetrio Albertin,Fabio canavaro,Genaro Gattuso,Gianluig buffon,Gianlucca Zambrotta,Fransesco Totti, Paulo Maldini,Robero baggio,Phillipo Inzaghi kuna mmoja anacheza katikati nimemsahau....kama Ramadhan maufi Lenny vile....pale kati jina limenitoka...ni Mtaalaam wa Penalt pia....Andrea Pirlo nimemkumbuka...Aiseee we acha tuuu japo nimewataja roughly tuu bila Mpangilio...Any way huenda wakapindua matokeo jamaa
 
Back
Top Bottom