Mkuu
Root Italia huganya vizuri pale were usipotegemea. Historia inaonyesha Italia hufika fainali kila baasa ya miaka 12. 1970 ,1982, kule spain na walinyanyua kwapa.1994 kule Marekani walipopoteza kwa mkwaju wa penalty ya Baggio. 2006 Kule ujerumani waliponyanyua tena kwapa kwa penalt ya Vicenzo Ianquinta. Sasa ni 2018 miaka 12 tena. Italia wanakwena kuushangaza ulimwengu.
Kwa maoni yangu italia ina kikosi kizuri ila inaangushwa na mwalimu kwa maana ya kocha. Ukiangalia ile back line yao sijaona kama kwa ulaya kuna back line bara kama wao. Barzagli,Chiellini,Banucci, Damian. Hawa ni moja kati ya beki bora kabisa ulaya.
Viungo wapo vizuri. Veratti na wenzie. Zaza,immobile,belotti ni attacking wazuri tu. Wanafunga magoli mengi tu kwenye ligi huko ulaya. Kinachotuangusha cc kama waItalia in mwalimu. Leo Sweden anapigwa a take asitake. Italia kwenßa Russia ni lazima kama ilivyo lazima kwa kifo