Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Mtu anayesaidiwa lazima akimbilie kwenda kumshukuru aliyemsaidia na ndicho Mbowe alichofanya kwenda kumshukuru Rais Samia. Hata Kama kusoma hujui hata picha huoniWeka evidence ya kisheria juu ya madai yako ya hiyo kitu huruma!!
Acha utopolo wee shoga! khaa unaandika kama unashusha kimba!! Nani alimhurumia nani?Si Jambo dogo kumzungumzia gaidi mbele ya Marekani, Uingereza, Ufaransa na wakakuelewa. Kwao gaidi hatakiwi kuishi.
Mbowe aliposhtakiwa na Ugaidi tuliona serikali za nchi hizo kufuatilia kwa karibu kesi hiyo na yote si kwa Sababu wanaipenda Sana CHADEMA au Mbowe ila ni kuhakikisha usalama wao. Ni aibu kubwa
Tuliona Jamhuri ikimuondolea aibu hiyo na kuamua kumsamehe, naamini kama Jamhuri ingeamua kuendelea na kesi hiyo Mbowe asingechomoka.Huruma za Jamhuri ni nyingi Sana.
Kipekee kabisa niliombe baraza kuu kuwaacha Mdee na wenzake ,Mdee ana mengi Sana ya kuzungumza hususani mabaya ya Mbowe na mkilazimisha aongee mtasema anatumwa sote tunajua Mbowe si msafi
Hapakuwa na huruma hapa. Hata mawakili wa Upande wa Jamhuri walijua hapakuwa na ugaidi wowote. Nenda Somalia kasikilizie Ugaidi ndiyo uje hapa. Mnakuja hapa kuzungumza uharo. Leta mambo yenye akili siyo uharo unaonuka kutulazimisha tuanze kuvaa barakoa tena , tushasahauSi Jambo dogo kumzungumzia gaidi mbele ya Marekani, Uingereza, Ufaransa na wakakuelewa. Kwao gaidi hatakiwi kuishi.
Mbowe aliposhtakiwa na Ugaidi tuliona serikali za nchi hizo kufuatilia kwa karibu kesi hiyo na yote si kwa Sababu wanaipenda Sana CHADEMA au Mbowe ila ni kuhakikisha usalama wao. Ni aibu kubwa
Tuliona Jamhuri ikimuondolea aibu hiyo na kuamua kumsamehe, naamini kama Jamhuri ingeamua kuendelea na kesi hiyo Mbowe asingechomoka.Huruma za Jamhuri ni nyingi Sana.
Kipekee kabisa niliombe baraza kuu kuwaacha Mdee na wenzake ,Mdee ana mengi Sana ya kuzungumza hususani mabaya ya Mbowe na mkilazimisha aongee mtasema anatumwa sote tunajua Mbowe si msafi
You are stupidSi Jambo dogo kumzungumzia gaidi mbele ya Marekani, Uingereza, Ufaransa na wakakuelewa. Kwao gaidi hatakiwi kuishi.
Mbowe aliposhtakiwa na Ugaidi tuliona serikali za nchi hizo kufuatilia kwa karibu kesi hiyo na yote si kwa Sababu wanaipenda Sana CHADEMA au Mbowe ila ni kuhakikisha usalama wao. Ni aibu kubwa
Tuliona Jamhuri ikimuondolea aibu hiyo na kuamua kumsamehe, naamini kama Jamhuri ingeamua kuendelea na kesi hiyo Mbowe asingechomoka.Huruma za Jamhuri ni nyingi Sana.
Kipekee kabisa niliombe baraza kuu kuwaacha Mdee na wenzake ,Mdee ana mengi Sana ya kuzungumza hususani mabaya ya Mbowe na mkilazimisha aongee mtasema anatumwa sote tunajua Mbowe si msafi
Cc johnthebaptistSi Jambo dogo kumzungumzia gaidi mbele ya Marekani, Uingereza, Ufaransa na wakakuelewa. Kwao gaidi hatakiwi kuishi.
Mbowe aliposhtakiwa na Ugaidi tuliona serikali za nchi hizo kufuatilia kwa karibu kesi hiyo na yote si kwa Sababu wanaipenda Sana CHADEMA au Mbowe ila ni kuhakikisha usalama wao. Ni aibu kubwa
Tuliona Jamhuri ikimuondolea aibu hiyo na kuamua kumsamehe, naamini kama Jamhuri ingeamua kuendelea na kesi hiyo Mbowe asingechomoka.Huruma za Jamhuri ni nyingi Sana.
Kipekee kabisa niliombe baraza kuu kuwaacha Mdee na wenzake ,Mdee ana mengi Sana ya kuzungumza hususani mabaya ya Mbowe na mkilazimisha aongee mtasema anatumwa sote tunajua Mbowe si msafi
Acha utopolo wee shoga! khaa unaandika kama unashusha kimba!! Nani alimhurumia nani?
Tena ni chizi haswaWw mwehu kwelikweli
Hujajib swal langu, tafadhali jibu kulingana na swali langu!!Mtu anayesaidiwa lazima akimbilie kwenda kumshukuru aliyemsaidia na ndicho Mbowe alichofanya kwenda kumshukuru Rais Samia. Hata Kama kusoma hujui hata picha huoni
kilaza ktk ubora wakoSi Jambo dogo kumzungumzia gaidi mbele ya Marekani, Uingereza, Ufaransa na wakakuelewa. Kwao gaidi hatakiwi kuishi.
Mbowe aliposhtakiwa na Ugaidi tuliona serikali za nchi hizo kufuatilia kwa karibu kesi hiyo na yote si kwa Sababu wanaipenda Sana CHADEMA au Mbowe ila ni kuhakikisha usalama wao. Ni aibu kubwa
Tuliona Jamhuri ikimuondolea aibu hiyo na kuamua kumsamehe, naamini kama Jamhuri ingeamua kuendelea na kesi hiyo Mbowe asingechomoka.Huruma za Jamhuri ni nyingi Sana.
Kipekee kabisa niliombe baraza kuu kuwaacha Mdee na wenzake ,Mdee ana mengi Sana ya kuzungumza hususani mabaya ya Mbowe na mkilazimisha aongee mtasema anatumwa sote tunajua Mbowe si msafi
Sote tumemsiki akisema 'hakuna mtu atakayepewa msamaha na Rais akaukataa'. Hiyo kauli imebeba siri nyingi na alijua fika bila kuonewa huruma asingetoboaMkuu
Unafikiri angekuwa gaidi kweli angeishi!!?
Tafakari!!
hahaha. serikali ya USA Imemruhusu gaidi kuingia state na kuhutubia kama unahisi mwafrika anajua ugaidi kuliko mzungu mwambie MAKONDA asongelee hata ubalozi wa US Pale oystabay uone kitakacho mkutaSi Jambo dogo kumzungumzia gaidi mbele ya Marekani, Uingereza, Ufaransa na wakakuelewa. Kwao gaidi hatakiwi kuishi.