Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Si Jambo dogo kumzungumzia gaidi mbele ya Marekani, Uingereza, Ufaransa na wakakuelewa. Kwao gaidi hatakiwi kuishi.
Mbowe aliposhtakiwa na Ugaidi tuliona serikali za nchi hizo kufuatilia kwa karibu kesi hiyo na yote si kwa Sababu wanaipenda Sana CHADEMA au Mbowe ila ni kuhakikisha usalama wao. Ni aibu kubwa
Tuliona Jamhuri ikimuondolea aibu hiyo na kuamua kumsamehe, naamini kama Jamhuri ingeamua kuendelea na kesi hiyo Mbowe asingechomoka.Huruma za Jamhuri ni nyingi Sana.
Kipekee kabisa niliombe baraza kuu kuwaacha Mdee na wenzake ,Mdee ana mengi Sana ya kuzungumza hususani mabaya ya Mbowe na mkilazimisha aongee mtasema anatumwa sote tunajua Mbowe si msafi