Kama JamiiForums ingekuwa shule ya msingi wafuatao wangekuwa boarding

Kama JamiiForums ingekuwa shule ya msingi wafuatao wangekuwa boarding

Sky Eclat Karucee Heaven Sent sisters flani hivi, wengine handle zao zimenitoka Ila comment zao zinaongeza kitu

Shimba Ya Buyenze hana baya huyu brother ✊

Mshana Jr japo huwa ananitisha sometimes 😄 Ila ni kisima cha maarifa ya maisha

Kiranga moja ya watu walionifanya kuingia Jf, nampa respect yake special haswa kwa jamii intelligence forum

FisadiKuu brother flani hivi makini, nakumkubali sana 👏

MALCOM LUMUMBA one of my major influences and a bro, member naetamani kuonana nae

lara 1 best story teller, ana seat yake special Jf
 
JF Stand up, put your hands up
Kuna watu umu wamekua na consistence yakuepo (online) na kuwa wachangiaji wazuri katika nyuzi mbali mbali hapa chamani kwetu JF. Members hawa wenzetu kiukweli wana-keep the place alive.

Binafsi Smart911 namwona ni JF Member ambaye yupo JF boarding( ila tu kama JF ingekua ni shule).
Wangu mimi ni huyu, wewe nani mara zote uwa unamauona online( JF boarding). M-metion ajue kuwa unamuona unamuona ~ suddybrown voice
Gentamycine angekuwa anakula fimbo Kila siku Kwa kuchelewa kuhesabu namba.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
joseph1989 brother flani wa celebrity forums, makini sana ✌

CONTROLA nyuzi za biashara anajitahidi kuzitendea haki, brother mwenye moyo flani wa peke yake

Joanah hardcore girl, kwa hii Era naona anaitendea haki

Kasie one of my favorite female personality ya Jf of all time 😁

RRONDO jamaa flani realistic, namuheshimu kwa hilo

Kuna wengi huwezi hata mention wote.
Kila mtu ana space yake humu
 
Mmuaaah mmmuuuahhh mwaaah....😘😘😘😘.
 
Back
Top Bottom