Mwanamziki Nguli Mwana Fa aka BINAMU, ametangaza kutoa asilimia 15 ya mapato yake kwa familia ya marehemu Ngwea. kwavile mwanamziki JIDE anapenda kuiga kila anachofanya Mwana FA, aige na hili basi maana hili ni jambo positive saana!
jinsi wakat hapo juu jina lake linaxomeka lady..
kutoa ni moyo, wewe hata 3,000/- hujaahidiUpuuzi...ana mapato kiasi gani? 15% inaweza kuwa 50,000/-
Hamna habari hapa!
jide hana akili ya kuangalizia kama yako we demu wa hamisi anayejiita mwanafalsafa huku amesoma biashara .nyambafu mkubwa wewe
Huu ndio ushakunaku umewai kuopolewa na Gadna akakwambia analipwa laki tatu.?Alivyo mbahili vile hawezi.Ivi unajua kwamba hata mumwewe kitendo cha kuwa meneja wake anamlipa kaki 3 zingine kibindoni..Ndo mana baba wa watu hujitafutia u m c hata BILICANAS na sehemu zingine ili ajiongezee kipato.Kumbuka ana mtoto na wazazu,atashtuka tu kwamba alipo,,,,,,,,,,,,Nani kajinyonga!