Kama Jay dee anajua kuiga, aige na hili basi!!

Kama Jay dee anajua kuiga, aige na hili basi!!

Ningeambiwa Nichague Uchawi au Umbea, basi ningechagua Umbea kwanza @ Revocatus Kashaga
Tafadhali naomba utumie hii Signature kuanzia leo!
 
Yawezekana wewe ni mwanaume kama binti.. Umekaa kimbea mbea tu hizi habari za mipasho unatakiwa kukaa na mabinti wenzako ndo mpeane mipasho na sio kutuletea uchafu kama huu...
 
aige nin sasa hapa! Kwani kumsaidia mtu ni lazima utangaze! Uyo fa kafanya unafiki hakuna dini inayoruhusu kutangaza misaada! Bado mwanafatuma ni snitch 2! We utajuaje kama tayari kashatoa zaidi ya io asilimia 15.

Ama kweli wewe wakutumwa, Mwana FA angeanza kumkumbuka aliyemsaidia na kumfanya ajulikane kwenye sanaa ya music King Crazy GK, produce Bonny Lv, kifupi kama kutoa ni msaada ni matangazo FA ni mshamba,, Jide alitoa coaster ya Machozi Band ikabeba watu kwenda Morogoro kuzika na kuwarudisha na bado hajajitangazia, je yeye siku ya msiba alitoa nini??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
nani anayemuiga mwenzie kati ya mwanafatma na jide kilaza wewe.
 
Back
Top Bottom