Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
mshikaji ndo ivo tena.
Tutafanyaje?
mshkaji gani tena huyo? mmmhh meno yangu nayapenda ujue
futa bac hapo juu nlichemka mwenzio
Mimi ningekuwa first lady wa huyo wa juu .ndio nafwasi inayonifwaaa
muhusika atakuwa anakitambua mimi kwangu yatosha usalama hata nikokanyaga nyanya za watu niweze kulipa akili yangu itumike kitandani tu hahahaahahahahhahahahaaaa katiba mpya haitambui hicho cheo ujue, jaribu kingine
muhusika atakuwa anakitambua mimi kwangu yatosha usalama hata nikokanyaga nyanya za watu niweze kulipa akili yangu itumike kitandani tu hahahaahahahah
Acha woga Mpwa hili ni jukwaa huru bhana
we nawe hujui hata kuunganisha dots
Kwenye hii serikali mpya sitaki kazi yoyote
acha niendelee kuwa mkulima.
niishi na muheshimiwa alafu nitumie ubongo kutafuta pesa !!pesa atafute yye kutumia tutumie wote mie kaziangu kuweka maji hiliki,kisosi bafuni chakuweka mali za mzeee na kataulo kananukiaaa na nguvu yakumpakata nikimpaka mafuta khekhekehekeheketena "vyakula vya usiku", sio vyakula tu ndio anavyotaka kupika yeye
nivea
Hahahaaaaa unafaa kuwa Kwenye Wizara ya Sophia Simba, sijui inaitwaje
ukiwa na hela huchini bidada unafikiri mama swalwima anafaidi hela ndio inamweka pale