mi ningekuwa risponsibo na kung'oa kucha, meno na kukata mapembe ya wale wote waendao kinyume na chilikali...
mh! Ntakua mwangalifu kuanzia leo
Kumbe chit chat ... Napita tu.. i can do.better than this ..
Kwenye hii serikali mpya sitaki kazi yoyote
acha niendelee kuwa mkulima.
philip dominick mimi sitaki wizara
nitaendelea kuwa mkulima tu.
mwe,we hata jembe unajua linashkwaje