Kama jf ni great thinkers, kunakuwaje na nyuzi za kizwazwa?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Kuna nyuzi nyingine zinazokingana na sifa ya jf. Mfano, mtu anauliza eti ni faida gani ulipata kwa mwanamke! Kamuulize mama yako ndo utajua faida ya mwanamke.
Mwingine mara usipinge dini fulani na mengine mengi. Kwani hizo dini zenu hazipingwi?
Huwa nashangaa kwanini kuna nyuzi nyingi za kizwazwa zinazokinzana na dhana ya great thinkers.
 
Shida hapo unavyoona wewe ni ipi?..ni Jamii forum, wanajamii forum au mtazamo wako?
 
Back
Top Bottom