Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anonymous kama guest mwenye full access na hii forum anayeweza kutembelea majukwaa yote na kupost chochoteyani Anonymous ndani ya Anonymous au?!
aanha okay, kwa mimi sidhani kama kungekua na mpya....ningepita humu humu ninapopita kila siku na kupost.anonymous kama guest mwenye full access na hii forum anayeweza kutembelea majukwaa yote na kupost chochote
sasa mbona umeshapitwa ""? watu wa humu wanatumia WI - Fi MkuuKiti cha kwanza ni changu,..kalieni vilivyobaki[emoji56]
kama hapo kwenye nyota nyota itakuwa umewatukana mods weweNitaandika vitu vizito, nyie wasomaji mtakua mnaona **************** mwanzo mwisho