Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Joshua Mutale ni moja ya mawinga hatari sana hapa Africa, ni kiungo wa pembeni sio wa kawaida, ana uwezo wa kupiga chenga, anao uwezo wa kufunga mabao katika mazingira yoyote, anaweza kucheza pia kama kiungo wa kati.
Joshua Mutale ni kiungo msumbufu sana, anaweza kufanana na Steven Mapunda Garincha ama Akida Makunda.
Wengi tulivutiwa sana na uchezaji wa Joshua Mutale akiwa pale Power Dynamo ya Zambia, wengi tulifurahi sana tuliposikia Simba wakiwa na mipango naye, tulijua upande wa kiungo wa pembeni kumepata mtu.
Hata hivyo, tangu aliposajiliwa Joshua Mutale mambo yamebadilika sana, Joshua Mutale yule aliyetusumbua pale Chamazi na aliyekuwa akiimbwa kule Zambia amekuwa sio yeye, sasa hivi hana uwezo wa kupiga chenga, hawezi kutoa pasi na akitoa pasi anapiga pasi ndefu inatoka nje, hawezi kufunga, hawezi kupiga shuti, hana msaada wowote kwa timu, awali alikuwa akipangwa mara kwa mara lakini ss hivi hana uhakika wa namba, kuumia ndio imekuwa jadi yake sasa hivi, kiufupi Mutale amepoteza kujiamini.
Mashabiki, wanachama, wapenzi na baadhi ya viongozi ndani ya Simba wanaulizana kulikoni Joshua Mutale?
Mimi nasema kwa uzoefu wangu wa mpira wa Tanzania tangu mwaka 1988 nimeanza kwenda uwanjani pale uwanja wa Uhuru kuziona akina Sigara, Pilsner, Tukuyu, Nyota Nyekundu, Reli ya Morogoro, Coastal Union na African Sports ya Tanga, Pamba ileeee ya akina Hamza Mponda, Ali Bushiri, Kitwana Selaman, Dan Mhoja, ABdallah Bori, Madata Lubigisa, Paulo Rwechungura, mchezaji huyu Joshua Mutale atakuwa amefanyiwa mambo yasiyo ya kimpira.
Siwezi kuamini Mutale awe anaunguruma kule Zambia vya kutosha kiasi cha kuwafanya viongozi wa Simba wamshawishi Mo Dewji amsajili halafu leo Mutale awe kichekesho, Big No.
Yote tisa kumi huyu Elie Mpanzu, huyu dogo bwana anajua boli.Dogo huyu kwa namna nilivyomfuatilia ana uwezo mkubwa sana kuliko kiungo yeyote wa soka hapa Tanzania na Africa ya Mashariki na Kati.Narudia, Elie Mpanzu ni kiungo mwenye uwezo mkubwa kuliko mchezaji yoyote anayecheza soka hapa Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania.
Kwanza, dogo huyu amejaaliwa na mwenyezi mungu kipaji cha hali ya juu cha kupiga chenga za maudhi, chenga zake zilikuwa zikipigwa zamani na Abubakary Salum 'Sure Boy' na marehemu Celestine Sikinde Mbunga, Akida Makunda, Steven Mapunda Garincha.
Mpanzu anaweza kuchukua mpira katikati ya uwanja akawafungasha mabeki wakatili kwa pamoja kama Ibrahim Bacca, Mwamnyento, Job, Che Malone, Abdulrazak Hamza na Chamou Karaboue hadi golikipa Pin Pin Camara au Djigui Diarra na akafunga ama akatoa pasi hata kwangu nisiyefanya mazoezi nikafunga kilaiiini.
Mpanzu ni ngekewa kwa Simba, anazo sifa zote za kucheza soka ulaya ana akawapelekesha wazungu mwanzo mwisho.
Mpanzu ilikuwa acheze soka ulaya kama sio masharti yao leo SImba tungekuwa tunaimba tu Mpanzu Mpanzu.
Huyu Dogo ana uwezo wa kutumia miguu yote miwili kama alivyo Clatous Chota Chama au Michael Paul wa enzi zile pale Simba au Georger Lucas Gazza.
Mpanzu ni mtu mkatili mnoooo, hana masihara na mabeki wachovu wachovu kama akina Mwamnyeto au Job.Simba imelamba dume sana.
Hofu yangu, Mpanzu anaweza kugeuka kituko uwanjani kwa sababu ya mambo yetu ya uswahili, kama viongozi wa simba mnashindwa kuwalinda wachezaji kama huyu Mpanzu, kesho mtasikia kule Kagera anachekesha tu.
Mpanzu sio mchekeshaji, uwezo wake tunaujua kama ilivyo kwa Dube, leo Dube kala upako huyo ameanza balaa, Je Mpanzu atakuwa hajafanyiwa uhuni nje ya uwanja? Tusubiri kesho tuone.Kama Mpanzu atakuwa hajafanyiwa uhuni kesho, wanasimba kesho Jumamosi ni burudani safi sana kwetu, tutaomba refa achezeshe dakika 150 uwanjani ili Mpanzu atupe raha weekend.Hebu fikiria Winga Kibu, WInga Mutala aliyefanyiwa upako, tisa Ateba kumi Mpanzu, manina zao, mmekoswa sana tano.