Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Nimechekaa jamani wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Taja eneo ulipo, alafu madogo km nyie nawapenda sana, taja ulipo unakuja Silaha zote weka chini una beto zako sijui bisibisi weka pembeni man to man mpaka nihakikishe nimekung'oa jicho au reception yako haitazamiki
Ona sasa unavyojidhalilisha
Umekaa jeshini huijui vita wala kashkash yoyote

Ova
 
Dawa ni kuwawekea sumu mnafeli wapi wakuu??
 
Nahisi na wew utakuwa ni mjeda kund kuwasha choko wewe mje mjichanganye kwangu nina mkanda mweusi wa taikondo nitawapiga mpaka niwavuruge mitaro mbwa nyie
 
Ukitaka walisemee itokee hivi

Jamii Forums wachapishe taarifa hii katika mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na twitter juu ya unyanyasaji wao
Una taka Jm(mtandao wangu pendwa) wachapishe taarifa za wajeda fb na Instagram na Twitter . Una Hatari ww
 
Matokeo ya kukosa akili hii huwezi sikia kwa nchi zilizoendelea,ni kwa nchi maskini ambapo watu wasio na muelekeo wanaamua kuingia jeshini.Zama zimebadilika wenzenu wanajifunza mbinu mpya za kivita nyie mpo kuingia majumbani mwa watu.Mna hasira sana nendeni mkapigane na polisi basi.HII TABIA YA WANAJESHI KUSHAMBULIA MAKAZI YA RAIA IKOMESHWE MAANA IMESHAKUA MAZOEA.HAKUNA KIUMBE ALIYE JUU YA SHERIA YA NCHI!
 
Unataka kusema uyo kanal yuko juu ya sheria.....sijui mkoje nyie hamthamini wenzenu kabisa mnajikuta kinoma sasa kila mtu aseme ivyo itakuwaje......wewe unajua inachukua miaka mingap na sh ngap kumuandaa daktari bingwa?
Mueleze huyo kima mlinzi wa geti
Daktar anasoma hadi nywele zinaisha halafu huyo mpuuz akicheza kwata anajiona amefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…