Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Mtaendelea tu kuuwawa [emoji1787][emoji1787] huyu ni mjeda wa tatu ! mwingine alifia kilabuni huko Tanga ! kalewa kaanza kujishaua muhuni kakimbilia Panga akamuua !! sifurahii mauaji ila nasikitika kwanini hamjui nafasi yenu kwenye jamii ? We hujui kwamba ni Mwanajeshi ?

kama huyu mwingine aliyekufa nasikia pia alikua na mke na watoto eneo la tukio bado tu halijiamini anataka kujionesha ni mjeda !! hivi kweli mtu una akili na unajitambua unapigana mbele ya mke na watoto [emoji1787] unataka kuonesha nini ? Pang'ang'a

Ukifika maeneo ambayo yana changanyikeni , shiriki kama wao ongea kama wao ! Hata wakikuita poti au afande isiwe ya hofu iwe ya kukubali kazi unayoifanya ya kulinda mipaka ya nchi.
Nimechekaa jamani wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Taja eneo ulipo, alafu madogo km nyie nawapenda sana, taja ulipo unakuja Silaha zote weka chini una beto zako sijui bisibisi weka pembeni man to man mpaka nihakikishe nimekung'oa jicho au reception yako haitazamiki
Ona sasa unavyojidhalilisha
Umekaa jeshini huijui vita wala kashkash yoyote

Ova
 
Hii ni mentality ya KIPUMBAVU SANA, yaani anafanya kosa mtu mmoja wanaadhibu mama zetu, baba zetu, dada zetu, wadogo na watoto wetu, eti "unawatia adabu" adabu ipo hiyo?

Duniani ilivyo mbali kiteknolojia bado wanatumia mbinu za kishamba kabisa ku-deal n'a mambo, UPUMBAVU, UPUMBAVU, UPUMBAVU !

Kesho wanarudi kula kwenye migahawa ya watu hao hao wanaowaadhibu bila sababu, anyway...
Dawa ni kuwawekea sumu mnafeli wapi wakuu??
 
Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Nahisi na wew utakuwa ni mjeda kund kuwasha choko wewe mje mjichanganye kwangu nina mkanda mweusi wa taikondo nitawapiga mpaka niwavuruge mitaro mbwa nyie
 
Ukitaka walisemee itokee hivi

Jamii Forums wachapishe taarifa hii katika mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na twitter juu ya unyanyasaji wao
Una taka Jm(mtandao wangu pendwa) wachapishe taarifa za wajeda fb na Instagram na Twitter . Una Hatari ww
 
Matokeo ya kukosa akili hii huwezi sikia kwa nchi zilizoendelea,ni kwa nchi maskini ambapo watu wasio na muelekeo wanaamua kuingia jeshini.Zama zimebadilika wenzenu wanajifunza mbinu mpya za kivita nyie mpo kuingia majumbani mwa watu.Mna hasira sana nendeni mkapigane na polisi basi.HII TABIA YA WANAJESHI KUSHAMBULIA MAKAZI YA RAIA IKOMESHWE MAANA IMESHAKUA MAZOEA.HAKUNA KIUMBE ALIYE JUU YA SHERIA YA NCHI!
 
Unataka kusema uyo kanal yuko juu ya sheria.....sijui mkoje nyie hamthamini wenzenu kabisa mnajikuta kinoma sasa kila mtu aseme ivyo itakuwaje......wewe unajua inachukua miaka mingap na sh ngap kumuandaa daktari bingwa?
Mueleze huyo kima mlinzi wa geti
Daktar anasoma hadi nywele zinaisha halafu huyo mpuuz akicheza kwata anajiona amefika
 
Back
Top Bottom