Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Wewe mjinga achana na jeshi, Huna kazi za kufanya? Mbona unashupaa sana au tukutafute na wewe? Unajua inachukua muda gani kumuandaa Kanali.POPOMA WEWE SHIKA ADABU YAKO. ETI CDF AOMBE RADHI YA NINI
Hivi kucheza kwata ni kazi sana?
Mbona mgambo wanacheza?
Unajua daktar anasoma miaka mingap hadi aje akutibu hiyo amoeba yako?
 
Wakiambiwa wakapambane na Alshabaab hapo Somalia wanaishia kujinyea nyea tu, n'a kutia huruma, wakifika kwa raïa tena wa nchi yao wanajifanya miamba PUMBAVU KABISA!
 
NA INAONESHA NAMNA GANI SERIKALI INASUPPORT HIVI VITENDO VYA WANAJESHI SABABU MPAKA SASA HAKUNA TAMKO LOLOTE LILITOLEWA.NA IKIWA KWELI HAO WANAWAKE WAWILI WAMEFIA JESHINI KUTOKANA NA MATESO,WAHUSIKA WAWAJIBISHWE.Hatuwezi kulea ujinga wa wapuuzi wachache kisa ni wanajeshi!Wakati wa Magufuli hakuna yeyote anayejiita mwanajeshi aliwahi fanya hivi waliufyata kama kondoo.Ila sasa hivi naona wanarudia tabia za zamani
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…