Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Hivi kucheza kwata ni kazi sana?
Mbona mgambo wanacheza?
Unajua daktar anasoma miaka mingap hadi aje akutibu hiyo amoeba yako?
Msifike huko kwamba who is who, Tuhimizane Amani na Upendo kwa taifa ndo kila kitu, bila Amani hakuna kitachoenda, Sudan walileta wanafunzi wao huku sababu ya Amani iliyokosekana kutengeneza hao Madaktari, walimu, n.k
Amani na Umoja
 
Sisi kama bodaboda tutaendelea kukutobeeni wake zenu na kitakuwa ni kisasi cha kupigwa na wanajeshi.
 
Shida kubwa waliyonayo wanajeshi wetu (hawa wanao tesa raia) ni elimu. Maana hao kama amekaza sana basi ni form four failure. Kwahyo wanafanya hivo kujaribu kujipatia heshima uraiani. A very stupid approach.

Halafu kitu cha kustaajabisha kabisa, nchi yetu ikivamiwa kijeshi, kupigana tunakwenda wanaume wote nasisi wanaotuonea saivi. Yaani tofauti yao na sisi ni kwamba wao wanavaa sale za jeshi na wanalipwa mshahara.

Halafu Jeshi gani linapita kuokoteza wanawake na wazee aisee. Akili hawanaga hawa watu.
 
Msifike huko kwamba who is who, Tuhimizane Amani na Upendo kwa taifa ndo kila kitu, bila Amani hakuna kitachoenda, Sudan walileta wanafunzi wao huku sababu ya Amani iliyokosekana kutengeneza hao Madaktari, walimu, n.k
Amani na Umoja
Waambie hao wakolochi waache kupiga wanawake na watoto wamtafute aliye mchoma jamaa yao kusumbua basi
 
Wajeda boss wenu kashaenda hatarudi cha muhimu mjifunze kutokana na makosa.Alie na akili ajifunze asie na akili aendelee mpaka siku atakutana na Kato mwingine apigwe shoka la kichwa
 
Back
Top Bottom