mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Analidhalilisha jeshi tu huyu nq kama jeshi lina watu kama yeye hamna kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nimechekaa kwa nguvu hapa.
Basi
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Analidhalilisha jeshi tu huyu nq kama jeshi lina watu kama yeye hamna kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nimechekaa kwa nguvu hapa.
Usijaribu,Mwepesi sana
Wewe hujui lolote,bado bwam dogo sana inaonesha
Ova
Aliyemuua Kanali yuko polisi nendeni mkapigane na polisiKwa hio kwa huo ujinga ndio mna kibali cha kumuua Kanali?
??????Mbona huelewi, amewaambia wanajeshi msitumie mitandao vibaya
Wazinguen haswa hao raiaUkizingua mmoja mtazinguliwa 1000 ushaelewa au bado hujaelewa nikueleweshe,
Msifike huko kwamba who is who, Tuhimizane Amani na Upendo kwa taifa ndo kila kitu, bila Amani hakuna kitachoenda, Sudan walileta wanafunzi wao huku sababu ya Amani iliyokosekana kutengeneza hao Madaktari, walimu, n.kHivi kucheza kwata ni kazi sana?
Mbona mgambo wanacheza?
Unajua daktar anasoma miaka mingap hadi aje akutibu hiyo amoeba yako?
Wewe huna akili,Wazinguen haswa hao raia
Hawawez kuuwa mwanajesh
Ila usilinganishe kucheza kwata na kusoma udaktar
Okay pole sanaComment yakoo imeniacha hoi mnoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jeshi letu LA 6 Kwa ubora duniani.Analidhalilisha jeshi tu huyu nq kama jeshi lina watu kama yeye hamna kitu
Basi
Ova
Wewe pia hauna akili,Like kiapo cha utii wa Sheria wanachoapa Kama wameshindwa kukitekeleza inabidi waziri wa ulinzi na mkuu was majeshi wajiuzulu au wafukuzwe
Utoto badoKwa hio kwa huo ujinga ndio mna kibali cha kumuua Kanali?
Waambie hao wakolochi waache kupiga wanawake na watoto wamtafute aliye mchoma jamaa yao kusumbua basiMsifike huko kwamba who is who, Tuhimizane Amani na Upendo kwa taifa ndo kila kitu, bila Amani hakuna kitachoenda, Sudan walileta wanafunzi wao huku sababu ya Amani iliyokosekana kutengeneza hao Madaktari, walimu, n.k
Amani na Umoja
Huna akili,Sisi kama bodaboda tutaendelea kukutobeeni wake zenu na kitakuwa ni kisasi cha kupigwa na wanajeshi.
Wewe huna akili,Utoto bado
Ova
Kivip??Wewe huna akili,
Weka address hapo ***** nije niwachezeshe kichapo wajeda machoko nyie..machimbo ya wahuni mnayajua inakuaje mkapige bibi zetuKichapo bado hakijaisha,