Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Acha upumbavu hamko juu ya sheria Fala mkubwa wewe. Unajiona kidume ukiwa kambini? Toka huko ukomeshwe kama Lt Muna.Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Naunga mkono hoja πππAcha upumbavu hamko juu ya sheria Fala mkubwa wewe. Unajiona kidume ukiwa kambini? Toka huko ukomeshwe kama Lt Muna.
Hao jamaa wa bodaboda wajue mkuki kwa nguruwe.... wao wanatabia ya kupiga mtu yoyote akimkosea mwenzao hata kwa bahati mbaya wanatoa kipigo na serikali ilikuwa inawachilia tu na wao wacha wapokee kichapo cha makosa ya mwenzao washenzi sana tena sana hao vijiwe vya bodaboda. Navyoelewa kijiwe cha aliyetoka mwenzao muuwaji wote watakula kibano watajane wote. Mtu aliyeuwa mara moja hujui kafanya mangapi huko nyuma.GENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana.
Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo Watu na hasa hasa Kuwajeruhi vibaya sana Wamama ( tena Watu wazima ) ambao wengi Wao hadi Usiku huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi Wanauguza Majeraha yao huku Mmoja wapo alikamatwa na MP hao akiwa Dukani Kwake na kuamrishwa Kuingia Garini huku akiliacha Duka likiwa wazi ambapo Wahuni waliingia na Kuiba Pesa zote za Hesabu na Simu zilizokuweko ndani.
Nijuavyo GENTAMYCINE ni kwamba JWTZ wana Kitengo chao cha Mawasiliano, Mahusiano na Elimu kwa Umma ( Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ) hivyo Kiungwana tu wangejitokeza na Kukiri Mateso haya kufanyika kwa Raia wasio na Hatia na kuomba Radhi ila wamechagua Kunyamaza na pengine hata Kufurahia kilichofanyika
Kuna Taarifa ambazo si nzuri nimezipata Jioni hii ( japo naendelea Kuzithibitisha ) kuwa kuna Wanawake Wawili waliokamatwa Baa ya Igole au ya Bombardier nao Kujumuishwa katika Kundi la Watu 74 Waliokamatwa na kupelekwa Kambini Mwenge kupewa Adhabu Kali za Kijeshi zilizojumuisha Kuchapwa na Virungu na Fimbo Ngumu Migongoni, wakirukishwa Vichurachura, wakibebeshwa Mawe na Kubiringitwa Udongoni Wamekufa ( Wamefariki ) leo.
Na kwa leo Mchana, Alasiri na hata Jioni hii GENTAMYCINE nimeshuhudia Raia kadhaa ( tena Wababa na Wamama ) Watu wazima bila kuwasahau Mabinti wakiwa Wamevimba Miguu, Macho, Ugoko na Pua zao na Wakilalamika sana na Kuhoji Kosa lao hasa hadi Kuteswa na Kupigwa kote kule Juzi Usiku kulikuwa ni nini?
GENTAMYCINE niliamua kwenda mbali zaidi kufanya Mahojiano na baadhi ya Wanasheria ( Mawakili ) juu ya Kilichofanyika na kudai kuwa kilikuwa ni Kinyume na Utaratibu wa Sheria za nchi na kwamba Wahusika wakiungana na kwenda Kushtaki hali itakuwa mbaya Kwao ( JWTZ ) hata kama wale MP wa Lugalo WALIOWATESA KINYAMA RAIA kwa kujua kuwa walichokuwa wanakifanya kilikuwa ni kibaya walivalia Kininja ili kuficha Nyuso zao Wasijulikane.
JWTZ nawapenda ila hapa mmebugi.
Wewe umejuaje kama hawana hatia? hii mitaa inatabia ya kufichana maovu na hivi vigenge vya bodaboda ni washirika wa maovu sasa watatajana tu na wengine wako wapi. Hawa kina Mama wengi wanaficha wahuni na kwakuwa wamekimbia basi kipigo kitawafanya watajane tu wamekimbilia wapi. Wewe hujui hawa vijiwe vya bodaboda wanayoyafanya.Baada ya kwenda kulinda mipakani na kulinda madini huko ya siibiwe wanawapiga raia wasio na hatia ama kweli tuna jeshi la hovyo sana
Kwa matukio haya,sitashangaa wakipindua nchi....wanaanzaga hivi hivi.....GENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana.
Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo Watu na hasa hasa Kuwajeruhi vibaya sana Wamama ( tena Watu wazima ) ambao wengi Wao hadi Usiku huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi Wanauguza Majeraha yao huku Mmoja wapo alikamatwa na MP hao akiwa Dukani Kwake na kuamrishwa Kuingia Garini huku akiliacha Duka likiwa wazi ambapo Wahuni waliingia na Kuiba Pesa zote za Hesabu na Simu zilizokuweko ndani.
Nijuavyo GENTAMYCINE ni kwamba JWTZ wana Kitengo chao cha Mawasiliano, Mahusiano na Elimu kwa Umma ( Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ) hivyo Kiungwana tu wangejitokeza na Kukiri Mateso haya kufanyika kwa Raia wasio na Hatia na kuomba Radhi ila wamechagua Kunyamaza na pengine hata Kufurahia kilichofanyika
Kuna Taarifa ambazo si nzuri nimezipata Jioni hii ( japo naendelea Kuzithibitisha ) kuwa kuna Wanawake Wawili waliokamatwa Baa ya Igole au ya Bombardier nao Kujumuishwa katika Kundi la Watu 74 Waliokamatwa na kupelekwa Kambini Mwenge kupewa Adhabu Kali za Kijeshi zilizojumuisha Kuchapwa na Virungu na Fimbo Ngumu Migongoni, wakirukishwa Vichurachura, wakibebeshwa Mawe na Kubiringitwa Udongoni Wamekufa ( Wamefariki ) leo.
Na kwa leo Mchana, Alasiri na hata Jioni hii GENTAMYCINE nimeshuhudia Raia kadhaa ( tena Wababa na Wamama ) Watu wazima bila kuwasahau Mabinti wakiwa Wamevimba Miguu, Macho, Ugoko na Pua zao na Wakilalamika sana na Kuhoji Kosa lao hasa hadi Kuteswa na Kupigwa kote kule Juzi Usiku kulikuwa ni nini?
GENTAMYCINE niliamua kwenda mbali zaidi kufanya Mahojiano na baadhi ya Wanasheria ( Mawakili ) juu ya Kilichofanyika na kudai kuwa kilikuwa ni Kinyume na Utaratibu wa Sheria za nchi na kwamba Wahusika wakiungana na kwenda Kushtaki hali itakuwa mbaya Kwao ( JWTZ ) hata kama wale MP wa Lugalo WALIOWATESA KINYAMA RAIA kwa kujua kuwa walichokuwa wanakifanya kilikuwa ni kibaya walivalia Kininja ili kuficha Nyuso zao Wasijulikane.
JWTZ nawapenda ila hapa mmebugi.
Kama wewe ni wa hiyo kazi basi haujitambui kabisa ya nini umpige raia kwa nini msiende hata kupigana Israel huko kazi yenu ni kuvimba vitambi na kufanya matanuzi mitaani na kukopa hovyo bila kulipa kutumia ubabe bila akili ni upuuzi kabisa ndo maana mnaua watu wasio na hatia huko kawe nyie si ndo mmeanza ukorofiWewe umejuaje kama hawana hatia? hii mitaa inatabia ya kufichana maovu na hivi vigenge vya bodaboda ni washirika wa maovu sasa watatajana tu na wengine wako wapi. Hawa kina Mama wengi wanaficha wahuni na kwakuwa wamekimbia basi kipigo kitawafanya watajane tu wamekimbilia wapi. Wewe hujui hawa vijiwe vya bodaboda wanayoyafanya.
Umenifany nichek wakat watu wameumizwamsemaji wao alisema jeshi letu ni la sita kwa ubora wa majeshi duniani nendeni mkagugo
Sasa wewe, uanajeshi ni sale tu!!! Si kweli. Tatizo ni uongozi wao. Mwanajeshi alieiva,kamwe hawezi kusumbuana na raia kwa mambo ya kipuuzi na kijinga. Sawa,wakati mwingine hutokea mtu katabia kake ka utotoni ka ugomvi hakaishi. Huyo atasumbua tu. Mwanajeshi anaejitambua,wewe civilian,anakupa adhabu za jeshini ili iweje? Imsaidie nini? Akufundishe kitu gani?Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Well saidWatu wanaogopa hata kuja mazoezini uwanjani !! kama jana na leo viwanja vilikua na watu kidogo sana !!!
Wajeda acheni kujitutumua mtakua mnaumia kwa sababu hamtaki kuamini kama mnaishi na raia maana mmepanga nyumba hizi hizi za uswahilini huenda wasikuue kwa kisu , ila ukarogwa au mwanao akafanyiwa vibaya au ukawekewa sumu maana hatuwezi jua huko kwenye kubeba beba raia huenda walikunotice wakukuwekea visasi ! mkipanda magari ya umma lipeni nauli ndo maana unapewa
mshahara fanya transaction ili tupate mzunguko wa pesa kodi zilipwe hizo hizo ndo zinakurudia kwa njia ya mshahara na hilo gari halitumii maji !! Pang'ang'a
Ukiomba kitu ukanyimwa au ukakataliwa / kuzuiliwa kupewa huduma fulani usikimbilie kujinasibu kwamba wewe mjeda ! fuata utaratibu uelezwe kwanini hujasaidiwa ! kama umeonewa unajua sehemu ya kulalamika nenda !! na Bank muwe mnapanga msitari kama watu wengine eti likija kulipa ada za watoto linapitiliza hadi mbele na hizo laki mbili huenda mlipewa hiyo priority kwa kutambua umuhimu wenu lakini sasa hamjitambui !! wanaume wako Gaza huko Ukraine sauti ya risasi ndo muziki mtamu maskioni kwao!! Wewe uko MayFair Bar unapiga wanaokukatalia maombi yako badala ufe vitani tukupe nishani unafia Bar !! Hii ni kuonesha hamna kazi za kufanya zaidi ya kwenda lindo nako mnaenda na vigodoro vya kulalia.
Hawa watu kadri wanavyoumia au kuwapoteza wenzao watawekana kitchen party wenyewe kwa wenyewe wafundane huko huko ! Nidhamu ya kupokea order wanayo !! ila sasa ushamba wa vazi dadeki !! yaan huko uswahilini wakipishana zamu za usafi chooni anaanza kujiongelesha mambo ya jeshi !! umeme wakipandisha bei au zamu yake ikafika hayuko vizuri anaanza kuvimba [emoji1787][emoji1787]
Kaeni kwenye hizo nyumba za kambi na chakula na vinjwaji kunyweni huko officer's mess !! mpaka mjifunze kubehave kama binadamu wa Karne ya 21 .
Mkuu GENTAMYCINE nasikia hapa kawe waliwahi kumuua kijana mdogo tu kwa ajili ya haya haya mambo ya kutoa adhabu !! ikaleta vurugu mtaani !!!
Humu kuna waziri Dr gwajima yeye yupo kwenye baraza la mawaziri hivyo atusaidie kulifikisha kwa waziri wa ulinzi. Wanajeshi baadhi yao wana ushamba sana hata mtaani wapo wanaojimwmbafai kisa yeye mjeda.Bado wanashauriana kuja na Tamko.
Hatukatai wala kupinga umuhimu wa Majeshi,tunachopinga ni wao kuvunja sheria,mbona logic ya mleta mada iko wazi.watu wa aina yako ndo inafanya watu waamini kwamba huko wanaendaga failures kwa asilimia kubwaKibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Naunga mkono hoja πππSasa wewe, uanajeshi ni sale tu!!! Si kweli. Tatizo ni uongozi wao. Mwanajeshi alieiva,kamwe hawezi kusumbuana na raia kwa mambo ya kipuuzi na kijinga. Sawa,wakati mwingine hutokea mtu katabia kake ka utotoni ka ugomvi hakaishi. Huyo atasumbua tu. Mwanajeshi anaejitambua,wewe civilian,anakupa adhabu za jeshini ili iweje? Imsaidie nini? Akufundishe kitu gani?
Wanatakiwa wafundishwe kucontrol hisia zao. Mwanajeshi anaejitambua,kwanza kabisa anatakiwa awe mvumilivu,muoga na mpole kwa raia. Haya,alokufa kauliwa na mtu mmoja,na anajulikana. Kwa nini asisakwe muuaji? Hao wengine wanateswa ili iweje! Watu wazima,wamekosea nini? Na kama wanakaa mtaani,si kwamba jeshi halina uwezo wa kuwahudumia? Kitengo kinachohusika na maswala ya uraiani kina kazi gani? Mwanajeshi awapo uraiani,ana kila sababu za kukaa kama raia. Kuvimbisha mashavu,kutafanya watu wamdhalau badala ya kumheshimu. Na wajue wanaweka familia zao matatani! Mtu anaweza asimdhulu yeye,lakini kisasi alipize kwa familia yake. Ambayo hata haitambui maovu yake. Uongozi wao uhusike. Wakiwa wakalimu,waelewa na wataratibu,nani atawachukia?
Na jeshi bila raia,haliwezekani
Mkuu huyo jamaa nimejikaz kumtukan maan angekuw karbu ningemuwash kibao cha maanaHuu
Daktari na mwalimu nao wakifanya uhuni sababu ya mazingira magumu ya kazi itakuwaje?
Kazi ya jeshi waliomba na wanalipwa hawajitolei.
Hao watumia nguvu wangewapiha hao hao bodaboda badi,kwa nn wawapige na raia wengine?Hao jamaa wa bodaboda wajue mkuki kwa nguruwe.... wao wanatabia ya kupiga mtu yoyote akimkosea mwenzao hata kwa bahati mbaya wanatoa kipigo na serikali ilikuwa inawachilia tu na wao wacha wapokee kichapo cha makosa ya mwenzao washenzi sana tena sana hao vijiwe vya bodaboda. Navyoelewa kijiwe cha aliyetoka mwenzao muuwaji wote watakula kibano watajane wote. Mtu aliyeuwa mara moja hujui kafanya mangapi huko nyuma.
Nxt time mje na majeneza yenu...shenzy zenu nyie,nxt time tutaumka ila nyie lazima muumieTunawaandalia siku yenu tena bado hamjasema tutawatafutia tu kisa kingine