Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Hii si kazi ya Jeshi ni kazi ya polisi. Kuvamia makazi ni kinyume cha kiapo cha jeshi cha kuwalinda.

Iwapo mmeamua kuasi kiapo cha kuwalinda raia na sasa mnawapiga jitahidini msivuke mstari wa uvimilivu wa raia wakaamua liwalo na liwe sababu ikifikia hapo hakuna kitu mtafanya kuwashinda na raia wakiashaamua jambo lao uniform zitavaliwa kambini tu huku nje zitafichwa. Jeshi na raia ni marafiki wa kutupwa ambapo raia anaheshimu sana jeshi na kulitii, mkibadili hilo wakawa maadui ni vita vya wenyewe kwa wenyewe na jeshi haliwezi shinda sababu hasira za raia ni sleeping giant, hazina madhara mpaka zikiamshwa.
 
Kama wapo Raia waliouliw mikono mwao na raia walio jeruhiwa hatua ikichukiliw watakuw wamehatarsha ajira zao

Kumbuka mkuu WA kikosi hii taarfa wanakuw wanalindan kwakuw inawez wagharmu wengi kwenye chain of command


ILA hili inabid hatua za kinidhamu kijeshi na kikatba zichukue mkondo ili huu upuz uishi ,

Wahanga ni Bora waend kuchukua pf3 watibiw huo mtaa wote waganga na wachawi wakutane watoe adhamu Kali kwa hao Askari jeshi walio miss behave
 
Yupo mwambulukuku, wakili asiye na kesi mahakamani, ongea nae alipeleke mahakamani.
 
Alafu ATA vyombo rasmi hawajatoa hiyo taarfa kuwa wananchi wameshambuliwa ....


Ata kam hawajatak ni watu wag wamewashambulia
 
Chukua like mkuu. Nina jamaa yangu wa damu sana wakati ameajiriwa kwa mara ya kwanza akataka kuleta huu ushamba. Tulikua kwenye daladala wote konda akapishana nae kauli kidogo akataka kuleta noma nikamzuia tulivyoshuka nikamchana awe humble atapigana na wangapi.

Now mstaarabu vibaya ile siku alichukia lakini jioni alinipigia simu akaniambia kweli alizingua.
 
Hakuna asiyeheshimu majeshi ila wanajeshi baadhi wana tabia za kishamba sana. Kosa la mtu mmoja iweje uadhibu kijiji wakiwemo vijana wadogo na wakinamama. Kama wao hodari basi waende somalia na sudani huko wakapambane.
 
Wewe nadhani mgeni nchi hii, unadhani hili ndio tukio la kwanza Tanzania? kama unadhani hivyo basi wasalimie huko uliko huijui Tz.
 
Hao waliopiga raia mtaani ni wapumbavu kama wewe
Na kama angekuwa ameshikwa mama yako na hao wanajeshi huko kawe na kupigwa usingeandika uwo ujinga.
 
Ebu fikiria kama mmoja waathirika a hicho kipigo cha Jeshi mtoto wake ni DR, kila mjeshi atakae pita kwenye hospital alipo lazima ale sindano ya sumu! Vita vinapigwana kwa njia nyingi sana, muhimu watu kuishi kwa kuheshimiana na kupenda, ili amani itawale!!
 
Mtu timamu hawezi kuwa wewe
Jipige kifua sema mimi ni mpumbavu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa muuwaji yuko mikononi mwa police, sasa hizi fujo tena mtaani za jeshi na raia za nini!?
 
Uzuri wake Amiri jeshi mkuu,SIJUI jemedari NI mama.Je anasemaje kwa hili???
 
Wewe nadhani mgeni nchi hii, unadhani hili ndio tukio la kwanza Tanzania? kama unadhani hivyo basi wasalimie huko uliko huijui Tz.
Jeshi lina majukumu mengi mazuri kuliko mabaya machache wanayofanya ndani ya nchi hii ndo maana bado linaheshimika. Angalizo ni kuwa ubaya kwa nchi na raia usizidi wema hasira za raia zikaamshwa. Hayo matukio unayoyasema ni ubaya, na ndio unaopaswa kudhibitiwa.
 
Cc: JamiiForums Active Moderator Maxence Melo

Wameona haya matukio ila naona kwenye Page za Jamiiflrum Wako kimya sijui Mayb na wao Wanaogopa
 
W
Hivi kwanini mkuu wa jeshi, waziri wa ulinzi hata raisi wasitoe tamko kuu mwanajeshi au wanajeshi kujichukulia Sheria mkononi kwa kutesa raia ukipatikana na kosa ilo ni kufukuzwa kazi moja kwa moja, wanawalea ndo hayo yanayotokea mitaani.
Si wanawake hao au???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…