GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #101
Unapohimiza Maadili kwa Raia hao Wanajeshi wana Maadili? Wangekuwa na Maadili uyasemayo na ayasemayo Commander In Chief ( Rais Samia ) baadhi ya hawa Wanajeshi wangekuwa Kutwa wanatoka Lugalo ndani kuja Kuvuta Bangi Ukwamani kwa Mapupu Nyumba ya ALIYOKUWA akiishi Raia aliyekuwa ndiyo akiwauzia na maarufu Kawe aitwae Patrick sasa ni Marehemu?Lakini siku ya kwanza watu walimuona mvuta bhangi aliyeua askari ni jasiri sana na kumpongeza Leo raia wanalia, ama kweli matamanio huleta upofu.
Huu ni ujumbe Jeshi linapeleka kwa raia kwamba waheshimu Kila mtu, Kuna siku wakiendelea na bhangi zao Jeshi linaweza kuchukua hatua ngumu na nzito sana.
Kila siku Rais anazungumzia maadili Kwa vijana lakini inasikitisha sana Kwa comment nilizosoma nyingi zinasema vijana wa kawe hawana maadili na kawe kumekuwa Kwa hovyo Kwa wastaarabu kuishi, watu wanakabwa mchana peupe lakini bado tunaona hao wahuni kusombwa na maMP ni kosa ? nani katuroga ?
Kwangu Mimi, ninatamani kusikia vijana wavuta bhangi wamesimbwa wote wapelekwe sehemu na mengine yafuate hapo ndio heshima kwa Jeshi itakuwepo.
Tafadhali Mhe.Rais na viongozi wengine wa kijeshi acheni wanajeshi wafanye wanachofanya ili maadili Kwa vijana yarudi.
Kwa sasa mdogo wake Marehemu Patrick ndiyo anawauzia Bangi Wanajeshi wa Lugalo ( baadhi ) na mida yao ya kwenda Kulanduka hapo ni Saa 6 hadi Saa 7 Mchana na Jioni Saa 11 hadi Saa 12 na Usiku wa Saa 3 hadi Saa 4 na hata Police wa Kituo cha Kawe wanalijua hili ila wameshatishwa nao kuwa Wasithubutu kwenda hapo.
Huna Akili....!!