Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Lakini siku ya kwanza watu walimuona mvuta bhangi aliyeua askari ni jasiri sana na kumpongeza Leo raia wanalia, ama kweli matamanio huleta upofu.

Huu ni ujumbe Jeshi linapeleka kwa raia kwamba waheshimu Kila mtu, Kuna siku wakiendelea na bhangi zao Jeshi linaweza kuchukua hatua ngumu na nzito sana.

Kila siku Rais anazungumzia maadili Kwa vijana lakini inasikitisha sana Kwa comment nilizosoma nyingi zinasema vijana wa kawe hawana maadili na kawe kumekuwa Kwa hovyo Kwa wastaarabu kuishi, watu wanakabwa mchana peupe lakini bado tunaona hao wahuni kusombwa na maMP ni kosa ? nani katuroga ?

Kwangu Mimi, ninatamani kusikia vijana wavuta bhangi wamesimbwa wote wapelekwe sehemu na mengine yafuate hapo ndio heshima kwa Jeshi itakuwepo.

Tafadhali Mhe.Rais na viongozi wengine wa kijeshi acheni wanajeshi wafanye wanachofanya ili maadili Kwa vijana yarudi.
Unapohimiza Maadili kwa Raia hao Wanajeshi wana Maadili? Wangekuwa na Maadili uyasemayo na ayasemayo Commander In Chief ( Rais Samia ) baadhi ya hawa Wanajeshi wangekuwa Kutwa wanatoka Lugalo ndani kuja Kuvuta Bangi Ukwamani kwa Mapupu Nyumba ya ALIYOKUWA akiishi Raia aliyekuwa ndiyo akiwauzia na maarufu Kawe aitwae Patrick sasa ni Marehemu?

Kwa sasa mdogo wake Marehemu Patrick ndiyo anawauzia Bangi Wanajeshi wa Lugalo ( baadhi ) na mida yao ya kwenda Kulanduka hapo ni Saa 6 hadi Saa 7 Mchana na Jioni Saa 11 hadi Saa 12 na Usiku wa Saa 3 hadi Saa 4 na hata Police wa Kituo cha Kawe wanalijua hili ila wameshatishwa nao kuwa Wasithubutu kwenda hapo.

Huna Akili....!!
 
Sasa wewe, uanajeshi ni sale tu!!! Si kweli. Tatizo ni uongozi wao. Mwanajeshi alieiva,kamwe hawezi kusumbuana na raia kwa mambo ya kipuuzi na kijinga. Sawa,wakati mwingine hutokea mtu katabia kake ka utotoni ka ugomvi hakaishi. Huyo atasumbua tu. Mwanajeshi anaejitambua,wewe civilian,anakupa adhabu za jeshini ili iweje? Imsaidie nini? Akufundishe kitu gani?
Wanatakiwa wafundishwe kucontrol hisia zao. Mwanajeshi anaejitambua,kwanza kabisa anatakiwa awe mvumilivu,muoga na mpole kwa raia. Haya,alokufa kauliwa na mtu mmoja,na anajulikana. Kwa nini asisakwe muuaji? Hao wengine wanateswa ili iweje! Watu wazima,wamekosea nini? Na kama wanakaa mtaani,si kwamba jeshi halina uwezo wa kuwahudumia? Kitengo kinachohusika na maswala ya uraiani kina kazi gani? Mwanajeshi awapo uraiani,ana kila sababu za kukaa kama raia. Kuvimbisha mashavu,kutafanya watu wamdhalau badala ya kumheshimu. Na wajue wanaweka familia zao matatani! Mtu anaweza asimdhulu yeye,lakini kisasi alipize kwa familia yake. Ambayo hata haitambui maovu yake. Uongozi wao uhusike. Wakiwa wakalimu,waelewa na wataratibu,nani atawachukia?
Na jeshi bila raia,haliwezekani
Hivi huko majumbani mitaa ya kawe na viunga vyake watu hawamiliki bastola au silaha za moto.

Maana kama mtu anakuja anabomoa milango na kutoa vichapo kwa wataokutwa huo ni uonevu, hao wajeda washenzi wanatakiwa wawahishwe kuzimu.
 
GENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana.

Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo Watu na hasa hasa Kuwajeruhi vibaya sana Wamama ( tena Watu wazima ) ambao wengi Wao hadi Usiku huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi Wanauguza Majeraha yao huku Mmoja wapo alikamatwa na MP hao akiwa Dukani Kwake na kuamrishwa Kuingia Garini huku akiliacha Duka likiwa wazi ambapo Wahuni waliingia na Kuiba Pesa zote za Hesabu na Simu zilizokuweko ndani.

Nijuavyo GENTAMYCINE ni kwamba JWTZ wana Kitengo chao cha Mawasiliano, Mahusiano na Elimu kwa Umma ( Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ) hivyo Kiungwana tu wangejitokeza na Kukiri Mateso haya kufanyika kwa Raia wasio na Hatia na kuomba Radhi ila wamechagua Kunyamaza na pengine hata Kufurahia kilichofanyika

Kuna Taarifa ambazo si nzuri nimezipata Jioni hii ( japo naendelea Kuzithibitisha ) kuwa kuna Wanawake Wawili waliokamatwa Baa ya Igole au ya Bombardier nao Kujumuishwa katika Kundi la Watu 74 Waliokamatwa na kupelekwa Kambini Mwenge kupewa Adhabu Kali za Kijeshi zilizojumuisha Kuchapwa na Virungu na Fimbo Ngumu Migongoni, wakirukishwa Vichurachura, wakibebeshwa Mawe na Kubiringitwa Udongoni Wamekufa ( Wamefariki ) leo.

Na kwa leo Mchana, Alasiri na hata Jioni hii GENTAMYCINE nimeshuhudia Raia kadhaa ( tena Wababa na Wamama ) Watu wazima bila kuwasahau Mabinti wakiwa Wamevimba Miguu, Macho, Ugoko na Pua zao na Wakilalamika sana na Kuhoji Kosa lao hasa hadi Kuteswa na Kupigwa kote kule Juzi Usiku kulikuwa ni nini?

GENTAMYCINE niliamua kwenda mbali zaidi kufanya Mahojiano na baadhi ya Wanasheria ( Mawakili ) juu ya Kilichofanyika na kudai kuwa kilikuwa ni Kinyume na Utaratibu wa Sheria za nchi na kwamba Wahusika wakiungana na kwenda Kushtaki hali itakuwa mbaya Kwao ( JWTZ ) hata kama wale MP wa Lugalo WALIOWATESA KINYAMA RAIA kwa kujua kuwa walichokuwa wanakifanya kilikuwa ni kibaya walivalia Kininja ili kuficha Nyuso zao Wasijulikane.

JWTZ nawapenda ila hapa mmebugi.
Makonda aaanze na hili
 
Katafuteni shuguli za kufanya basi
Nendeni mkaanzishe chokochoko na rwanda Uganda kenya huko mipakani
Acheni kugombania madem bar nk
Jeshi gani lina mambo ya kitoto

Ova
Waende Kote ila siyo Uganda hii ya Museveni na Rwanda ya Rais nimpendae duniani 'Genius, Millitary and Intelligence Master' Kagame kwani WATAKUFA kama KUKU na hawatoamini.
 
Hivi huko majumbani mitaa ya kawe na viunga vyake watu hawamiliki bastola au silaha za moto.

Maana kama mtu anakuja anabomoa milango na kutoa vichapo kwa wataokutwa huo ni uonevu, hao wajeda washenzi wanatakiwa wawahishwe kuzimu.
Dawa moja kwanza ki kuwapotezea,aina ya dhalau. Hivi,mtu mzima wenye akili timamu,unaweza ukatafuta sifa kwa kumpiga chizi?

Na hawa sasa,hasa MPs!!! Ni aibu ya karne kwa jeshi. Aliyeua mwenzao,si anajulikana? Si wangemtafuta huyo? Badala ya kushirikisha raia,kwa akili nanhekima kujua muuaji yupo wapi,wanataka wajionyeshe kuwa wanajua kupiga na kuadhibu! Ili iweje labda! Je,ina maana mkuu wa kambi hana taarifa? Amili jeshi mkuu,hana taarifa!? Hili si la raia kukemea,bali la viongozi wanaohusika. Hivi,hawajiulizi hiyo picha inakaaje,umevaa nguo za jeshi,unapiga,unaua,unatumia gari la serikali,kuwanyanyasa walonunua hilo gari na hizo nguo,wanaokulisha,af jioni unarudi huko huko! Wamejenga kitu gani kati ya familia za walioteswa na jeshi lenyewe?
 
Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
sijawahi kutukana lakini wewe ni @#$%^&*|. mbu sana
 
Watu wanaogopa hata kuja mazoezini uwanjani !! kama jana na leo viwanja vilikua na watu kidogo sana !!!
Wajeda acheni kujitutumua mtakua mnaumia kwa sababu hamtaki kuamini kama mnaishi na raia maana mmepanga nyumba hizi hizi za uswahilini huenda wasikuue kwa kisu , ila ukarogwa au mwanao akafanyiwa vibaya au ukawekewa sumu maana hatuwezi jua huko kwenye kubeba beba raia huenda walikunotice wakukuwekea visasi ! mkipanda magari ya umma lipeni nauli ndo maana unapewa
mshahara fanya transaction ili tupate mzunguko wa pesa kodi zilipwe hizo hizo ndo zinakurudia kwa njia ya mshahara na hilo gari halitumii maji !! Pang'ang'a
Ukiomba kitu ukanyimwa au ukakataliwa / kuzuiliwa kupewa huduma fulani usikimbilie kujinasibu kwamba wewe mjeda ! fuata utaratibu uelezwe kwanini hujasaidiwa ! kama umeonewa unajua sehemu ya kulalamika nenda !! na Bank muwe mnapanga msitari kama watu wengine eti likija kulipa ada za watoto linapitiliza hadi mbele na hizo laki mbili huenda mlipewa hiyo priority kwa kutambua umuhimu wenu lakini sasa hamjitambui !! wanaume wako Gaza huko Ukraine sauti ya risasi ndo muziki mtamu maskioni kwao!! Wewe uko MayFair Bar unapiga wanaokukatalia maombi yako badala ufe vitani tukupe nishani unafia Bar !! Hii ni kuonesha hamna kazi za kufanya zaidi ya kwenda lindo nako mnaenda na vigodoro vya kulalia.

Hawa watu kadri wanavyoumia au kuwapoteza wenzao watawekana kitchen party wenyewe kwa wenyewe wafundane huko huko ! Nidhamu ya kupokea order wanayo !! ila sasa ushamba wa vazi dadeki !! yaan huko uswahilini wakipishana zamu za usafi chooni anaanza kujiongelesha mambo ya jeshi !! umeme wakipandisha bei au zamu yake ikafika hayuko vizuri anaanza kuvimba [emoji1787][emoji1787]

Kaeni kwenye hizo nyumba za kambi na chakula na vinjwaji kunyweni huko officer's mess !! mpaka mjifunze kubehave kama binadamu wa Karne ya 21 .

Mkuu GENTAMYCINE nasikia hapa kawe waliwahi kumuua kijana mdogo tu kwa ajili ya haya haya mambo ya kutoa adhabu !! ikaleta vurugu mtaani !!!
Nimeprinti hii komenti na hapa nipo nakula , jioni nitakuwa mbalizi _ Mapacha lounge nikifurahia maisha nitawapa wajeda wote wa hapa kambi ya mbalizi ninaofurahia nao .

Ila kwa uchache ni kuwa hata askari polisi nitawapa wasome ili wajue raia mmechafukwa .

Sitawapa tu wale wa suti tu .
 
TARATIBU ZA KUMLIKI SILAHA YA KURITHI / SILAHA YA KUNUNUA
1. LAZIMA UJUE KAMA SILAHA YA KUMILIKI AU KURITHI
(a) Kama silaha umenunua kwa mtu hivyo silaha hiyo ni ya kurithi.
(b) Kama silaha ni ya kurithi lazima mwenye silaha aandike barua ambayo ataileta kwa kamanda wa
polisi wilaya (OCD) ambayo itamtambulisha huyo mtu anayetaka kurithishwa silaha hiyo.
2. IKIWA SILAHA NI YA MAREHEMU (KURITHI SILAHA YA MTU ALIYEKUFA)
Lazima kuwepo na barua ambayo wazee,ndugu ama wanakijiji waliokaa wakaona huyo mtu anafaa
kumiliki silaha hiyo ikiambatanisha na majina ya waliojadili.
3. IKIWA SILAHA NI YA KUNUNUA DUKANI (MPYA)
(a) Anayetaka kumiliki atafika kituo cha polisi na kuchukua fomu”N” akiwa na picha nne.
(b) Atajaza fomu nne akionyesha majina yake,aina ya silaha pamoja na sababu ya kumiliki silaha.
(c) Kama silaha ni ya kurithi atakuja na barua ya muhtasari wa kuonyesha kama wajumbe
wamemchagua yeye kuwa mmiliki na ataleta risiti kutoka dukani aliponunua silaha.
(d) Ataonyesha barua ya aliyekuwa mmiliki wa silaha ambayo awali ilihakikiwa ”N” kamanda wa
polisi wilaya(OCD) kama mwenye silaha yuko hai.
(e) Akishajaza fomu”N” ambayo itakuwa fomu ya nne atenda nazo kwenye kamati ya ulinzi na
usalama ya Kijiji na kujadiliwa huko na ataandikiwa muhuktasari.
(f) Ataenda katika kamati ya ulinzi na usalama ngazi ya Kata pia watamjadili na kumpatia
muhuktasari.
(g) Ataenda ngazi ya Tarafa yaani kwenye kamati ya ulinzi na usalama na Katika kamati zote hizo
muhuktasari utaonyesha majina ya wajumbe waliomjadili baada ya hapo ataenda kwa hakimu
wa Mahakama ya mwanzo ambaye atasaini na kugonga muhuri.
(h) Akimaliza hapo viambatanisho vyake vyote vitafungwa kwa pamoja na kupelekwa kwa afisa
usalama wa Taifa wilaya(DSO)ili avihakiki na kutoa makosa yaliyopo kasha kuzirudisha kwa
OCD.
(i) Na OCD atachukua viambatanisho vyake vyote kutoka ngazi mbalimbali za Kijiji,Kata,Tarafa
na Mahakamani atazipeleka katika kikao cha kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya na
kumjadili kama anastahili ama laa kasha watamuita katika kamati hiyo na ma
Ishia hapo hapo maana hizi protoko hadi kichwa kinauma🤣
 
GENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana.

Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo Watu na hasa hasa Kuwajeruhi vibaya sana Wamama ( tena Watu wazima ) ambao wengi Wao hadi Usiku huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi Wanauguza Majeraha yao huku Mmoja wapo alikamatwa na MP hao akiwa Dukani Kwake na kuamrishwa Kuingia Garini huku akiliacha Duka likiwa wazi ambapo Wahuni waliingia na Kuiba Pesa zote za Hesabu na Simu zilizokuweko ndani.

Nijuavyo GENTAMYCINE ni kwamba JWTZ wana Kitengo chao cha Mawasiliano, Mahusiano na Elimu kwa Umma ( Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ) hivyo Kiungwana tu wangejitokeza na Kukiri Mateso haya kufanyika kwa Raia wasio na Hatia na kuomba Radhi ila wamechagua Kunyamaza na pengine hata Kufurahia kilichofanyika

Kuna Taarifa ambazo si nzuri nimezipata Jioni hii ( japo naendelea Kuzithibitisha ) kuwa kuna Wanawake Wawili waliokamatwa Baa ya Igole au ya Bombardier nao Kujumuishwa katika Kundi la Watu 74 Waliokamatwa na kupelekwa Kambini Mwenge kupewa Adhabu Kali za Kijeshi zilizojumuisha Kuchapwa na Virungu na Fimbo Ngumu Migongoni, wakirukishwa Vichurachura, wakibebeshwa Mawe na Kubiringitwa Udongoni Wamekufa ( Wamefariki ) leo.

Na kwa leo Mchana, Alasiri na hata Jioni hii GENTAMYCINE nimeshuhudia Raia kadhaa ( tena Wababa na Wamama ) Watu wazima bila kuwasahau Mabinti wakiwa Wamevimba Miguu, Macho, Ugoko na Pua zao na Wakilalamika sana na Kuhoji Kosa lao hasa hadi Kuteswa na Kupigwa kote kule Juzi Usiku kulikuwa ni nini?

GENTAMYCINE niliamua kwenda mbali zaidi kufanya Mahojiano na baadhi ya Wanasheria ( Mawakili ) juu ya Kilichofanyika na kudai kuwa kilikuwa ni Kinyume na Utaratibu wa Sheria za nchi na kwamba Wahusika wakiungana na kwenda Kushtaki hali itakuwa mbaya Kwao ( JWTZ ) hata kama wale MP wa Lugalo WALIOWATESA KINYAMA RAIA kwa kujua kuwa walichokuwa wanakifanya kilikuwa ni kibaya walivalia Kininja ili kuficha Nyuso zao Wasijulikane.

JWTZ nawapenda ila hapa mmebugi.
heshimuni jeshi hayo mengine ni porojo tu, hakuna jaji wala hakimu atakayeweza kuwaelewa. Mbona mna akili za kipuuzi km kina Mwabukusi? Nchi hii ina miiko ya kuitii na ni kwa lazima siyo option. Msipeleke uhanarakati mpaka jeshini
 
we kenge unajidanga
Watu wanaogopa hata kuja mazoezini uwanjani !! kama jana na leo viwanja vilikua na watu kidogo sana !!!
Wajeda acheni kujitutumua mtakua mnaumia kwa sababu hamtaki kuamini kama mnaishi na raia maana mmepanga nyumba hizi hizi za uswahilini huenda wasikuue kwa kisu , ila ukarogwa au mwanao akafanyiwa vibaya au ukawekewa sumu maana hatuwezi jua huko kwenye kubeba beba raia huenda walikunotice wakukuwekea visasi ! mkipanda magari ya umma lipeni nauli ndo maana unapewa
mshahara fanya transaction ili tupate mzunguko wa pesa kodi zilipwe hizo hizo ndo zinakurudia kwa njia ya mshahara na hilo gari halitumii maji !! Pang'ang'a
Ukiomba kitu ukanyimwa au ukakataliwa / kuzuiliwa kupewa huduma fulani usikimbilie kujinasibu kwamba wewe mjeda ! fuata utaratibu uelezwe kwanini hujasaidiwa ! kama umeonewa unajua sehemu ya kulalamika nenda !! na Bank muwe mnapanga msitari kama watu wengine eti likija kulipa ada za watoto linapitiliza hadi mbele na hizo laki mbili huenda mlipewa hiyo priority kwa kutambua umuhimu wenu lakini sasa hamjitambui !! wanaume wako Gaza huko Ukraine sauti ya risasi ndo muziki mtamu maskioni kwao!! Wewe uko MayFair Bar unapiga wanaokukatalia maombi yako badala ufe vitani tukupe nishani unafia Bar !! Hii ni kuonesha hamna kazi za kufanya zaidi ya kwenda lindo nako mnaenda na vigodoro vya kulalia.

Hawa watu kadri wanavyoumia au kuwapoteza wenzao watawekana kitchen party wenyewe kwa wenyewe wafundane huko huko ! Nidhamu ya kupokea order wanayo !! ila sasa ushamba wa vazi dadeki !! yaan huko uswahilini wakipishana zamu za usafi chooni anaanza kujiongelesha mambo ya jeshi !! umeme wakipandisha bei au zamu yake ikafika hayuko vizuri anaanza kuvimba 🤣🤣

Kaeni kwenye hizo nyumba za kambi na chakula na vinjwaji kunyweni huko officer's mess !! mpaka mjifunze kubehave kama binadamu wa Karne ya 21 .

Mkuu GENTAMYCINE nasikia hapa kawe waliwahi kumuua kijana mdogo tu kwa ajili ya haya haya mambo ya kutoa adhabu !! ikaleta vurugu mtaani !!!
WE KENGE UNAJIDANGANYA PAMOJA NA HAO WAJINGA WENZAKO. ETI WANAISHI NYUMBA HIZI HIZI, MTAZIHAMA HIZO NYUMA NA KURUDI MLIKOTOKA HUKO KWENU KIJIJINI. PELEKENI UPUUZI WENU SEHEMU NYINGINE SIYO JESHINI WE KIMA. RUDIENI TUKIO KM HILO MUONE.
 
Nimeprinti hii komenti na hapa nipo nakula , jioni nitakuwa mbalizi _ Mapacha lounge nikifurahia maisha nitawapa wajeda wote wa hapa kambi ya mbalizi ninaofurahia nao .

Ila kwa uchache ni kuwa hata askari polisi nitawapa wasome ili wajue raia mmechafukwa .

Sitawapa tu wale wa suti tu .
Wasanue mkuu, ni njia mojawapo ya kuwasaidia suti nyeusi sina uzoefu nao ila sidhani kama wana hii michezo hata kama wanayo ni ya kutafutia tu ujiko labda kula mali safi au kusaidiwa shida zao binafsi ambalo ni jambo la kawaida hata kwa kada nyingine kama walimu na madktari inamuongezea sehemu za kukopa kwa Mangi nadhani kidogo shule imewasaidia !! Maaskari polisi wanaofanya huu ujinga ni wachache sana bifu lao na raia ni rushwa ! Ila kivingine maaskari fresh tu.

Tatizo la hawa wajinga wengine wanajimwambafai kila sehemu yaan hata kama hayuko sahihi anataka apigiwe magoti kisa ni JW sasa kinachowakuta ndo hicho anaacha mke na watoto na vyeo anakufa kwa sifa za kijinga !! Reasoning yao ni ndogo wakati mwingine kweli labda raia ana makosa lakini inafahamika sehemu za kumpeleka au kupiga marufuku ila sasa kwa kufikiri kwao ni zero wanampa doso 😀 wajitafakari
 
Kwa matukio haya,sitashangaa wakipindua nchi....wanaanzaga hivi hivi.....
Hao hawana jeuri hiyo. Wanachoweza ni kuleta ubabe tu kwa raia ambao wengi wao hawajui sheria. Yaani mimi uje kunivamia nyumbani kwangu na kuanza kunitesa kwa kosa nisilo na habari nalo si bora hapo kwangu pageuke kuwa Gaza na dunia ijue matokeo yake.
 
we kenge unajidanga

WE KENGE UNAJIDANGANYA PAMOJA NA HAO WAJINGA WENZAKO. ETI WANAISHI NYUMBA HIZI HIZI, MTAZIHAMA HIZO NYUMA NA KURUDI MLIKOTOKA HUKO KWENU KIJIJINI. PELEKENI UPUUZI WENU SEHEMU NYINGINE SIYO JESHINI WE KIMA. RUDIENI TUKIO KM HILO MUONE.
Sawa kwa niaba ya kenge wengine tunasema badilisheni mienendo yenu !! Hilo lililokufa limeacha mke na watakaomrithi huyo mjane ni hao hao raia i mean watamla 😂😂 usikute na watoto kawaacha wengine wako shule ya msingi watasomaje ana familia iliyokua inamtegemea huko labda wazazi , !! Uchungu aliowaachia marafiki !!

Fikiria unasababisha familia nzima mzigo mzito (achilia mbali uchumi hata malezi tu ambao mke atahangahika nao) kisa tu sifa za kijinga kujimwambafai na kujitutumua eti mjeda
Baada ya msiba familia yake itaanza kuandamwa wataambiwa watoke kwenye hizo nyumba za jeshi haya pengine ndo alikua kwenye harakati za kuinua kibanda 😂😂 na ukiona mtu anapenda hayo mambo ya utemi ujue hata nyumbani ni mkorofi ! Hapo mama hajui hata PIN code ya bank ya mumewe mpaka waanze kwenda bank kuomba waonewe huruma wapate kiasi cha kusurvive wakati wanaprocess mirathi

Muwe mnafikiria basi hata kuhusu wategemezi wenu itawapunguzia kufanya ujinga.
Sikubaliani na mauaji ya askari wetu lakini hata nyie sio waelewa comment tu inaonesha ni kiasi gani hamuwezi kufikiria na hapo mpo nchi ambayo mtu anakua askari hadi anastaafu sauti ya risasi aliyowahi kusikia ni ya mazoezi na range tu 😂😂 bado mnaweweseka hivi mgekua mna Trauma za vita si ndo ingekua balaa !
 
Back
Top Bottom