Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

chalii unatukana mapot kindezi kisa uko nyuma ya keyboard?
 
Hawawezi kupindua nchi hawa kwa akili za kugombana na raia
 
chalii unatukana mapot kindezi kisa uko nyuma ya keyboard?
Mimi siwatukani tunawaambia ukweli mkuu ! Tunachohoji ni kwani wanakufa kijinga jinga kwa kuchomwa visu !! Wakati mwanajeshi yake ni risasi ili tukuzike kwa heshima ! Hivi kweli tunafunika jeneza lako kwa bendera ya taifa na kukupigia risasi sijui 10 kisa ulienda bar ukajitutumua kwa watu ambao bunduki wanaziona kwenye TV tu wakakuchoma kisu 😂😂😂 wajitafakari
 
Vitendo vya namna hii(jeshi kuvamia maeneo ya watu na kuwapiga ovyo Hadi kuua/kujeruhi) kunaweza kukawa sababu kuibuka makundi hatari Kwa Taifa, ikiwemo magaidi. Police na JWTZ ni Vizuri tukawa watanzania Kwa maadiri na haiba. Tumuogope MUNGU,
 
heshimuni jeshi hayo mengine ni porojo tu, hakuna jaji wala hakimu atakayeweza kuwaelewa. Mbona mna akili za kipuuzi km kina Mwabukusi? Nchi hii ina miiko ya kuitii na ni kwa lazima siyo option. Msipeleke uhanarakati mpaka jeshini
Jeshi lipi hilo la kugombania madem
Na mkishalewa mnarukwa na ufaham

Ova
 

Hawatoomba na hamna kitu mtafanya. Watanzania wenyewe ndio nyie ambao uwoga na unafki umewajaa
 
Ndo utuandikie maandishi makubwa kwani sisi vipofu....behave basi wewe mjeda
 
Tunawaacha msahau mtoke majumbani mjichanganye mtaani, heshima lazima irudi kwa Jeshi mnaleta mazoea yakipumbavu.
 
Silaha za moto kwa kujilinda naona itakuwa solution nzuri , ujinga umezidi sana humu nchini , imagine uko ndani wanakuja mafala wanavamia na kuanza kupiga familia yako na wewe ,mtu from nowhere Tu anakuvaa na kuanza kukushambulia .
 
Hivi huko majumbani mitaa ya kawe na viunga vyake watu hawamiliki bastola au silaha za moto.

Maana kama mtu anakuja anabomoa milango na kutoa vichapo kwa wataokutwa huo ni uonevu, hao wajeda washenzi wanatakiwa wawahishwe kuzimu.
Hawa wapumbavu hawana tofauti na majambazi ,mimi hata kama watakuja kuvamia wamevaa combat hao ni majambazi tu ,au vibaka .
Sheria hairuhusu wao kuvamia raia na kuanza kushambulia ,hata polisi ambao ndio wana leseni ya kudeal na raia huwa hawaruhusiwi kuvamia makazi ya watu / raia wasio na hatia na ambao hawako armed na kuanza kushambulia kwa kuwapiga bila sababu , na hata kuingia kwenye makazi ya raia lazima wapewe ruhusa na serikali ya mtaa na ni lazima waongozane na kiongozi mmoja wapo wa mtaa .
Tanzania hawa wapuuzi jwtz wao wanaona hayo yote ni upuuzi ,
Kama kila mtu akiamua kujichukulia sheria sidhani kama kutakalika nchi hii .
Dawa hawa ni kumiliki chombo cha moto watu kama hao wabapovamia una haki ya kujilinda na kutumia chombo cha moto kuwamwaga ubongo
 
Raia wengi wakiwa na vyombo vya moto kisheria Kwa self defense ,nadhani hao wapuuzi watakuwa na heshima tu ,
Huwezi tu ukatoka huko na bangi zako umevutia kwenye makalio unaanza kupiga watu
We nani ?
 

Naona kuna wakati huwa wanajishau kuwa nao ni WATU.Kwamba watastaafu kazi na kurudi ulaiani.pia wanao ndugu huku.Tukianza kampain ya "kuwachukia" wanajeshi wanadhani wataishi vizuri.Ni hao wanajeshi wapuuzi wachache wanaoharibu taswira nzuri ya jeshi letu.Viongzoi wao wafanye marekibisho ya nidhanamu.Kuna utaratibu wa kisayansi wa kushughulikia uharifu.siyo hivyo walivyofanya.Naanza kukumbuka jinsi jeshi lilivyoshughulikia masuala ya korosho kule mtwara
 
Na ukitaka kujua jwtz kumejaa utovu wa nidhamu hao Military police ndio wanatakiwa iuwa custodians na enforcers WA maadili jeshini na kuhakikisha military codes zinafuatwa ,jinsi mwanajeshi anavyotakiwa kubehave mitaani ,sasa wao ndio wanakuwa frontliners kwenye kudisobey hizo codes .
Kila kambi hao Mps ndio huwa wanawaadabisha askari watovu wa nidhamu ,sasa ni ajabu Mps wanaingia kitaa kuanza kupiga raia , wao boundaries zao ni kwenye kambi za jeshi na hawatakiwi kudeal na issues za kitaa unless sasa labda kama kuna special joint operation na police kudeal na serious security threat au nchi itangaze hali ya hatari kama uasi nk .
 
Naona hao wapumbavu wanajifanya wa Israel. Ni wapumbavu coz popote wanapodhuriwa wanakwenda kuitana, wewe kama mwamba kweli na soldier pambana muda ule ule wa tukio hadii iishe sio kutegemea kwenda kuchukua wahuni wa kukusaidia.
Takataka kama hizo zinatakiwa zipelekee sudani kulinda amani ili wajue maana ya vita sio kwenda kupiga wamama kutisha watu mbwa.
 
Hii kuanza kukabana mashati na raia kitaa ni kukosa kazi za kufanya (idleness )
Ndio maana kuna usemi unasema " IDLE'S MIND IS THE DEVIL'S WORKSHOP "
"Akili ya mtu ambaye hajishughulishi na chochote ni karakana ya ibilisi "
Mambo maovu ndio yanakuwa yanatawala akili za hao wajinga , kama yanajiona yana ubavu wangekuwa wanayapeleka kwenye peace keeping missions huko kwa watemi Haiti , Elsalvador ,Guatemala , Congo ,Somalia ,Sudan nk Kwa magangwe walioshindikana huko wakaonyeshe huo undava wao .
Waliyapeleka kule kwa M23 miaka ile yakawa yanalambishwa mchanga tu kwa silaha za Jadi kama mishale na magobole ya kuchonga ,kila siku majeneza tu wakawa wanaleta mizoga Bongo .
Pumbavu sana
 
Wanaishia kuvamia makazi ya watu wasio na silaha wala mafunzo ya kujilinda kwa mapigano na kupiga wanawake, wazee na watoto kama mbwa , aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…