Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Wwe endelea kushangilia msiba kwa jirani yako,kama vile wwe unamkataba na Mungu,ni swala la muda tu na wwe utalia kama wanavyolia majirani zako!!Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima
Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule...www.jamiiforums.com
Unaelewa nilichokiweka hapo ni cha nani? Au hauelewi maana ya "link".Wwe endelea kushangilia msiba kwa jirani yako,kama vile wwe unamkataba na Mungu,ni swala la muda tu na wwe utalia kama wanavyolia majirani zako!!
Na wahuni nao wana namna yao ya kudeal na wanajeshi km Muna na wewe. Acheni kutia petrol kwenye moto. Siku zote polisi ndo mgomvi wa raia na mtetezi ni mwanajeshi naona mmeamua kugombana na raia sijui nidhamu ya wapi? Ushamba, kukosa maadili na shule ndogo inasumbua wengi wenu.t
Tamko la nini, wapumbavu washughulikiwe, hao ni wahaini, unamwua mwanajeshi? Wanajeshi wana namna yao ya ku-deal na wahuni km hao.
Unaandika tu ila naamini hata shule ya awali ya mafunzo huijui inafanana vipi.Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Chief ebu nenda kawe kawatetee mbona ni jambo rahisi sana!Hivi huko majumbani mitaa ya kawe na viunga vyake watu hawamiliki bastola au silaha za moto.
Maana kama mtu anakuja anabomoa milango na kutoa vichapo kwa wataokutwa huo ni uonevu, hao wajeda washenzi wanatakiwa wawahishwe kuzimu.
Yaaani,hata special operation hawatakiwi kushiriki. Hiyo ni ya Polisi tuuu. Na hiyo ya Kawe,waliotakiwa kumsaka muuaji ni Police tuuu. Kazi za jeshi mtaani,labda vitani. Sasa hiyo ilikuwa vita gani?Na ukitaka kujua jwtz kumejaa utovu wa nidhamu hao Military police ndio wanatakiwa iuwa custodians na enforcers WA maadili jeshini na kuhakikisha military codes zinafuatwa ,jinsi mwanajeshi anavyotakiwa kubehave mitaani ,sasa wao ndio wanakuwa frontliners kwenye kudisobey hizo codes .
Kila kambi hao Mps ndio huwa wanawaadabisha askari watovu wa nidhamu ,sasa ni ajabu Mps wanaingia kitaa kuanza kupiga raia , wao boundaries zao ni kwenye kambi za jeshi na hawatakiwi kudeal na issues za kitaa unless sasa labda kama kuna special joint operation na police kudeal na serious security threat au nchi itangaze hali ya hatari kama uasi nk .
Upo sahihi na umeongea ukweli mtupuUnaandika tu ila naamini hata shule ya awali ya mafunzo huijui inafanana vipi.
Ww sidhani kama ni asikari mwenye elimu, nilkaa kambini miezi minne niligundua wajinga kama ww wapo, lkn askari mwenye elimu nzuri na amehitimu vzri ni wastaarabu na waskivu wa Hali ya juu. Ndo maana ya Somo la uvumilivu kuwekwa mbele. Kuna maisha baada ya hizo nguo mkuu. Acha kutisha watu na kuaminisha wanajeshi wote ni wakorofi bila sababu.Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Mtagongwa mchakae mbwa nyinyi jaribuni muone, fanyeni km mnajaribu kuvamia kambi na kuanzisha vuruga ndio mtawajua vizuri vamieni kambi kisha ueni wanajeshi hata wawili tu mtaeleza kilichomtoa kanga manyoya watahusishwa hata wasiohusika, mtalia hadi makamasi mtalia hadi mnye na mjinyee pimbi nyinyi, mnaleta dharau kwa majeshi yenuHakuna vita mbaya sana kati ya raia na wanajeshi.
Na siku ikitokea kwa hapa Tanzania basi naamini wanajeshi watakufa wengi sana.
Wewe unaejua ndio uje humu ujitape kuua wanajeshi?Unaandika tu ila naamini hata shule ya awali ya mafunzo huijui inafanana vipi.
Ila ww jamaa aiseGENTAMYCINE niliamua kwenda mbali zaidi kufanya Mahojiano na baadhi ya Wanasheria ( Mawakili ) juu ya Kilichofanyika na kudai kuwa kilikuwa ni Kinyume na Utaratibu wa Sheria za nchi na kwamba Wahusika wakiungana na kwenda Kushtaki hali itakuwa mbaya
Amri Jeshi anaangalia raia wapumbavu wanaoua Jeshi lake wakipewa adhabu inavyotakiwa, wewe ulitakaje?Kwani amiri jeshi ana semaje au au hana taarifa.
Kutoa tamko gani? Yaan mmeua mjeshi tena mwenye cheo kikubwa alafu mnategemea tamko? Kenge mmojaHivi kwanini mkuu wa jeshi, waziri wa ulinzi hata raisi wasitoe tamko kuu, mwanajeshi au wanajeshi kujichukulia Sheria mkononi kwa kutesa raia ukipatikana na kosa ilo ni kufukuzwa kazi moja kwa moja, wanawalea ndo hayo yanayotokea mitaani.
Unadhihirisha upumbavu wako,Tunawaandalia siku yenu tena bado hamjasema tutawatafutia tu kisa kingine
Bila kuwafunza adabu michezo ya kuua wanajeshi haitaisha kwa hio lazima watoe funzo la kufunga mtaa,Baada ya kwenda kulinda mipakani na kulinda madini huko ya siibiwe wanawapiga raia wasio na hatia ama kweli tuna jeshi la hovyo sana