Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze

Mnagongewa wake zenu sembuse kuwafanya lolote?[emoji28] nyie ni wadhaifu tu!
 
Wwe endelea kushangilia msiba kwa jirani yako,kama vile wwe unamkataba na Mungu,ni swala la muda tu na wwe utalia kama wanavyolia majirani zako!!
 
Yaani kuna mbinu nyingi,kama BISIBISI imetoa matunda,wahanga waangalie mbinu nyingine.Kwanza kama unajiamini,kwanini uvae kininja,yaani eti unaficha uso,usijulikane,unaogopa nini?
Kama wewe ni kontawa,nenda waziwazi,fanya vurugu na utambe kabisa kuwa sifanywi chochote,we si mwamba bhana?
Ujinga sana huo,hao wamama kama wamekufa,ndugu zao wafanye rivenji kwa yeyote,kwani wao wameuawa wakati hawakuhusika,hivyo watakaofanyiwa rivenji,haina haja ya kuangalia uhusika wao.
 
Wwe endelea kushangilia msiba kwa jirani yako,kama vile wwe unamkataba na Mungu,ni swala la muda tu na wwe utalia kama wanavyolia majirani zako!!
Unaelewa nilichokiweka hapo ni cha nani? Au hauelewi maana ya "link".
 
t

Tamko la nini, wapumbavu washughulikiwe, hao ni wahaini, unamwua mwanajeshi? Wanajeshi wana namna yao ya ku-deal na wahuni km hao.
Na wahuni nao wana namna yao ya kudeal na wanajeshi km Muna na wewe. Acheni kutia petrol kwenye moto. Siku zote polisi ndo mgomvi wa raia na mtetezi ni mwanajeshi naona mmeamua kugombana na raia sijui nidhamu ya wapi? Ushamba, kukosa maadili na shule ndogo inasumbua wengi wenu.

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Unaandika tu ila naamini hata shule ya awali ya mafunzo huijui inafanana vipi.
 
Hivi huko majumbani mitaa ya kawe na viunga vyake watu hawamiliki bastola au silaha za moto.

Maana kama mtu anakuja anabomoa milango na kutoa vichapo kwa wataokutwa huo ni uonevu, hao wajeda washenzi wanatakiwa wawahishwe kuzimu.
Chief ebu nenda kawe kawatetee mbona ni jambo rahisi sana!
Pale ukwamani kuna kituo kikubwa cha polisi pia kuna ofisi ya mtendaji wote wapo kimya.
 
Na ukitaka kujua jwtz kumejaa utovu wa nidhamu hao Military police ndio wanatakiwa iuwa custodians na enforcers WA maadili jeshini na kuhakikisha military codes zinafuatwa ,jinsi mwanajeshi anavyotakiwa kubehave mitaani ,sasa wao ndio wanakuwa frontliners kwenye kudisobey hizo codes .
Kila kambi hao Mps ndio huwa wanawaadabisha askari watovu wa nidhamu ,sasa ni ajabu Mps wanaingia kitaa kuanza kupiga raia , wao boundaries zao ni kwenye kambi za jeshi na hawatakiwi kudeal na issues za kitaa unless sasa labda kama kuna special joint operation na police kudeal na serious security threat au nchi itangaze hali ya hatari kama uasi nk .
Yaaani,hata special operation hawatakiwi kushiriki. Hiyo ni ya Polisi tuuu. Na hiyo ya Kawe,waliotakiwa kumsaka muuaji ni Police tuuu. Kazi za jeshi mtaani,labda vitani. Sasa hiyo ilikuwa vita gani?
 
Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Ww sidhani kama ni asikari mwenye elimu, nilkaa kambini miezi minne niligundua wajinga kama ww wapo, lkn askari mwenye elimu nzuri na amehitimu vzri ni wastaarabu na waskivu wa Hali ya juu. Ndo maana ya Somo la uvumilivu kuwekwa mbele. Kuna maisha baada ya hizo nguo mkuu. Acha kutisha watu na kuaminisha wanajeshi wote ni wakorofi bila sababu.
 
Hakuna vita mbaya sana kati ya raia na wanajeshi.

Na siku ikitokea kwa hapa Tanzania basi naamini wanajeshi watakufa wengi sana.
Mtagongwa mchakae mbwa nyinyi jaribuni muone, fanyeni km mnajaribu kuvamia kambi na kuanzisha vuruga ndio mtawajua vizuri vamieni kambi kisha ueni wanajeshi hata wawili tu mtaeleza kilichomtoa kanga manyoya watahusishwa hata wasiohusika, mtalia hadi makamasi mtalia hadi mnye na mjinyee pimbi nyinyi, mnaleta dharau kwa majeshi yenu
 
GENTAMYCINE niliamua kwenda mbali zaidi kufanya Mahojiano na baadhi ya Wanasheria ( Mawakili ) juu ya Kilichofanyika na kudai kuwa kilikuwa ni Kinyume na Utaratibu wa Sheria za nchi na kwamba Wahusika wakiungana na kwenda Kushtaki hali itakuwa mbaya
Ila ww jamaa aise
 
Hivi kwanini mkuu wa jeshi, waziri wa ulinzi hata raisi wasitoe tamko kuu, mwanajeshi au wanajeshi kujichukulia Sheria mkononi kwa kutesa raia ukipatikana na kosa ilo ni kufukuzwa kazi moja kwa moja, wanawalea ndo hayo yanayotokea mitaani.
Kutoa tamko gani? Yaan mmeua mjeshi tena mwenye cheo kikubwa alafu mnategemea tamko? Kenge mmoja
 
Back
Top Bottom