Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Sio kila mtu ni shujaa nyuma ya keyboard,

Kama wewe ni mwanaume unajiamini une pekeako,

Sio unabondwa af uje na wenzako kama changuoa
Taja eneo ulipo, alafu madogo km nyie nawapenda sana, taja ulipo unakuja Silaha zote weka chini una beto zako sijui bisibisi weka pembeni man to man mpaka nihakikishe nimekung'oa jicho au reception yako haitazamiki
 
Hizi nyuzi za hiki kisa cha raia vs m.Jeshi zimetrend sana humu recently, je kuna tamko lolote kutoka kwenye mamlaka husika?
GENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana.

Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo Watu na hasa hasa Kuwajeruhi vibaya sana Wamama ( tena Watu wazima ) ambao wengi Wao hadi Usiku huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi Wanauguza Majeraha yao huku Mmoja wapo alikamatwa na MP hao akiwa Dukani Kwake na kuamrishwa Kuingia Garini huku akiliacha Duka likiwa wazi ambapo Wahuni waliingia na Kuiba Pesa zote za Hesabu na Simu zilizokuweko ndani.

Nijuavyo GENTAMYCINE ni kwamba JWTZ wana Kitengo chao cha Mawasiliano, Mahusiano na Elimu kwa Umma ( Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ) hivyo Kiungwana tu wangejitokeza na Kukiri Mateso haya kufanyika kwa Raia wasio na Hatia na kuomba Radhi ila wamechagua Kunyamaza na pengine hata Kufurahia kilichofanyika

Kuna Taarifa ambazo si nzuri nimezipata Jioni hii ( japo naendelea Kuzithibitisha ) kuwa kuna Wanawake Wawili waliokamatwa Baa ya Igole au ya Bombardier nao Kujumuishwa katika Kundi la Watu 74 Waliokamatwa na kupelekwa Kambini Mwenge kupewa Adhabu Kali za Kijeshi zilizojumuisha Kuchapwa na Virungu na Fimbo Ngumu Migongoni, wakirukishwa Vichurachura, wakibebeshwa Mawe na Kubiringitwa Udongoni Wamekufa ( Wamefariki ) leo.

Na kwa leo Mchana, Alasiri na hata Jioni hii GENTAMYCINE nimeshuhudia Raia kadhaa ( tena Wababa na Wamama ) Watu wazima bila kuwasahau Mabinti wakiwa Wamevimba Miguu, Macho, Ugoko na Pua zao na Wakilalamika sana na Kuhoji Kosa lao hasa hadi Kuteswa na Kupigwa kote kule Juzi Usiku kulikuwa ni nini?

GENTAMYCINE niliamua kwenda mbali zaidi kufanya Mahojiano na baadhi ya Wanasheria ( Mawakili ) juu ya Kilichofanyika na kudai kuwa kilikuwa ni Kinyume na Utaratibu wa Sheria za nchi na kwamba Wahusika wakiungana na kwenda Kushtaki hali itakuwa mbaya Kwao ( JWTZ ) hata kama wale MP wa Lugalo WALIOWATESA KINYAMA RAIA kwa kujua kuwa walichokuwa wanakifanya kilikuwa ni kibaya walivalia Kininja ili kuficha Nyuso zao Wasijulikane.

JWTZ nawapenda ila hapa mmebugi.
Hadithi njoo uongo njoo utamu kolea
 
Nenda katamke hivyo pale Lugalo mbwa jike wewe uone madume wanavyokusolola mmoja mmoja,
Vita ya sasa ni ya technolojia, mambo ya kubeba matofali hayapo, mtashushiwa rocket moja platoon nzima mnalamba mchanga, mjikite kwenye technology sio ubabe wa kizamani. None scared of the shit
 
Taja eneo ulipo, alafu madogo km nyie nawapenda sana, taja ulipo unakuja Silaha zote weka chini una beto zako sijui bisibisi weka pembeni man to man mpaka nihakikishe nimekung'oa jicho au reception yako haitazamiki
Af nikishakukanda ukaite wenzako? Kwani wanaoanzishaga ugonvi si wanakuaga ivo ivo?

We mp mzima unampiga bibi et kutia adabu, we ni kenge tu, huwezi unesha ubabe kwa bibi au wadada bar wasio na hatia
 
Af nikishakukanda ukaite wenzako? Kwani wanaoanzishaga ugonvi si wanakuaga ivo ivo?

We mp mzima unampiga bibi et kutia adabu, we ni kenge tu, huwezi unesha ubabe kwa bibi au wadada bar wasio na hatia
Kaa kimya km huna la kuongea, unajitia umwamba umekaa nyuma ya keyboard, pumbavu
 
We ndo kizibo, hapo ulipo hata kufunga fuse ya roketi hujui, kichwa box unaringia nyama, kama nyama kauze mishkaku acheni ubabe kwa watu wasio na hatia
Utagongwa siku yako we endelea kujichanganya utachakaa,
 
Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Inaonesha unanyonywa dudu sana wewe chakubanga
 
Back
Top Bottom