Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Utachakaa hutoamini macho yako endelea kujichanganya,
Nitumie namba yako pm usiongee sana, na kama unataka kukandwa uje pekeako tukuoneshe dojo sinavyopigwa.

Sio unashabikia wamama kupigwa. Hio inaogeza dharau na chuki na si heshima kama unavyofikiria. Watu kama sisi tunaona ni ushamba tu
 
Ukipigwa usije kulialia humu, kubari kabisa
 
Njoo kitaa kijana, we hapo ukiacha kazi utaenda kua mlinzi wa geti. Njoo tukufundishe specialization upate xha kukushughulisha akili usiwe mshamba. Ubabe kafanye kwa unaowalisha
Taja eneo ufikiwe na mtembeza mkong'oto,
 
...( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo Watu na hasa hasa Kuwajeruhi vibaya sana Wamama ( tena Watu wazima ) ambao wengi Wao hadi Usiku huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi Wanauguza Majeraha..
Yaani kama al-Shabaab tu, aisee.
Hii ni aibu kubwa kwa jwtz !
 
Wewe unaejua ndio uje humu ujitape kuua wanajeshi?
Kuua kama kuua ni kosa kisheria hivyo siwezi kabisa kufurahia au kushabikia tukio kama hilo, kwahiyo na wewe umefurahishwa na yaliyotokea? Zipo taratibu za kufuatwa kiuhalisia MP ni askari jeshi kwa ajili ya kudeal na civilian?
 
Back
Top Bottom