Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
HujitambuiNaona imekuchoma vizuri sana
Naona upo kazini kwenye ubora wako.Hujitambui
Najiuliza sana juu ya hili suala maana chama chetu hakijawahi kuwa na sucession plan nzuri.
Mbowe na familia yake walikuwa ndio Chadema. Mpaka sasa ni Chadema ni mali yao.
Sasa je, kama ikitokea akatiwa hatiani, je Chadema itasurvive?
Atiwe hatiani kwa makosa ya kubambika??Najiuliza sana juu ya hili suala maana chama chetu hakijawahi kuwa na sucession plan nzuri.
Mbowe na familia yake walikuwa ndio Chadema. Mpaka sasa ni Chadema ni mali yao.
Sasa je, kama ikitokea akatiwa hatiani, je Chadema itasurvive?
Atiwe hatiani kwa makosa ya kubambika??
Kamanda Asiyechoka na Ezekiel Mbaga, leading products za mikesha ya mwenge tayari katika uwajibikaji...wenzao tayari wamelala, subiri sokomoko hawa wafuatao wakiamka kesho...Inaumiza?
Mkuu umetisha sanaKamanda Asiyechoka na @Ezekeiel Mbaga, leading products za mikesha ya mwenge tayari katika uwajibikaji...wenzao tayari wamelala, subiri sokomoko hawa wafuatao wakiamka kesho...
- Shujaa Mwendazake
- tutamkumbukamagu
- akilinene
- Bushesha jr
- JUMA JUMA
- Wakudadavuwa
- zandrano
- shamimuodd
- Redpanther
- GENTAMYCINE
- Jasusi Mbobezi
- Elitwege
- Idugunde
- Jumbe Brown
- johnthebaptist
- USSR
- Magonjwa Mtambuka
- Dr Akili
- Janjaweed
- mtanzania1989
- Phillipo Bukililo
- Mr Dudumizi
- digba sowey
- IDEGENDA
- Niza doyi
- Kivumishi Kielezi
- Gerald .M Magembe
- Jasusi Mbobezi
- Jay One
- Stuxnet
- Latvia
- Iboya2021
- Ritz
- mama D
- Psalm 23
- Shambaboy jogoli
- Pulchra Animo
- BUSH BIN LADEN
- No signal
- Lord OSAGYEFO
- fisi 2
- Naipendatz
Ni wasukumaMbaga ni wapare???
Wewe ni CCM.... pilipili usizozila zakuwasha kwenye nini?Najiuliza sana juu ya hili suala maana chama chetu hakijawahi kuwa na sucession plan nzuri.
Mbowe na familia yake walikuwa ndio Chadema. Mpaka sasa ni Chadema ni mali yao.
Sasa je, kama ikitokea akatiwa hatiani, je Chadema itasurvive?
List haiwezi kukamilika bila YEHODAYAKamanda Asiyechoka na Ezekiel Mbaga, leading products za mikesha ya mwenge tayari katika uwajibikaji...wenzao tayari wamelala, subiri sokomoko hawa wafuatao wakiamka kesho...
- Shujaa Mwendazake
- tutamkumbukamagu
- akilinene
- Bushesha jr
- JUMA JUMA
- Wakudadavuwa
- zandrano
- shamimuodd
- Redpanther
- GENTAMYCINE
- Jasusi Mbobezi
- Elitwege
- Idugunde
- Jumbe Brown
- johnthebaptist
- USSR
- Magonjwa Mtambuka
- Dr Akili
- Janjaweed
- mtanzania1989
- Phillipo Bukililo
- Mr Dudumizi
- digba sowey
- IDEGENDA
- Niza doyi
- Kivumishi Kielezi
- Gerald .M Magembe
- Jasusi Mbobezi
- Jay One
- Stuxnet
- Latvia
- Iboya2021
- Ritz
- mama D
- Psalm 23
- Shambaboy jogoli
- Pulchra Animo
- BUSH BIN LADEN
- No signal
- Lord OSAGYEFO
- fisi 2
- Naipendatz
Hapa yenyewe tayari wamepoteza dira.Najiuliza sana juu ya hili suala maana chama chetu hakijawahi kuwa na sucession plan nzuri.
Mbowe na familia yake walikuwa ndio Chadema. Mpaka sasa ni Chadema ni mali yao.
Sasa je, kama ikitokea akatiwa hatiani, je Chadema itasurvive?
Ameenda marekani kukutana na shoga yake rob amster, nyumbu wakadanganywa kuwa ameenda kuhudhuria mikutano ya kisiasa!Makamu mwenyekiti sijui kajificha wap?..
Kamanda Asiyechoka na Ezekiel Mbaga, leading products za mikesha ya mwenge tayari katika uwajibikaji...wenzao tayari wamelala, subiri sokomoko hawa wafuatao wakiamka kesho...
- Shujaa Mwendazake
- tutamkumbukamagu
- akilinene
- Bushesha jr
- JUMA JUMA
- Wakudadavuwa
- zandrano
- shamimuodd
- Redpanther
- GENTAMYCINE
- Jasusi Mbobezi
- Elitwege
- Idugunde
- Jumbe Brown
- johnthebaptist
- USSR
- Magonjwa Mtambuka
- Dr Akili
- Janjaweed
- mtanzania1989
- Phillipo Bukililo
- Mr Dudumizi
- digba sowey
- IDEGENDA
- Niza doyi
- Kivumishi Kielezi
- Gerald .M Magembe
- Jasusi Mbobezi
- Jay One
- Stuxnet
- Latvia
- Iboya2021
- Ritz
- mama D
- Psalm 23
- Shambaboy jogoli
- Pulchra Animo
- BUSH BIN LADEN
- No signal
- Lord OSAGYEFO
- fisi 2
- Naipendatz
Tuondolee upumbavu wako wa kiccm hapaNajiuliza sana juu ya hili suala maana chama chetu hakijawahi kuwa na sucession plan nzuri.
Mbowe na familia yake walikuwa ndio Chadema. Mpaka sasa ni Chadema ni mali yao.
Sasa je, kama ikitokea akatiwa hatiani, je Chadema itasurvive?
Je kuna haja ya katiba mpya ?Najiuliza sana juu ya hili suala maana chama chetu hakijawahi kuwa na sucession plan nzuri.
Mbowe na familia yake walikuwa ndio Chadema. Mpaka sasa ni Chadema ni mali yao.
Sasa je, kama ikitokea akatiwa hatiani, je Chadema itasurvive?
Ni fikra za kijinga. Ni sawa na mtu akiuliza, kwa mfano ikathibitika wewe ni nguruwe, ukoo wako utaendeleaje?Najiuliza sana juu ya hili suala maana chama chetu hakijawahi kuwa na sucession plan nzuri.
Mbowe na familia yake walikuwa ndio Chadema. Mpaka sasa ni Chadema ni mali yao.
Sasa je, kama ikitokea akatiwa hatiani, je Chadema itasurvive?
Hoja za hao watu hapa JF, ndiyo inakufanya mtu mwenye akili uuone ukweli wa matokeo ya utafiti ule wa TWAWEZA uliosema kuwa CCM inapendwa zaidi na watu wasio na akili,Uzuri wake ni kuwa tunafahamiana nao vyema kuwa nani ni nani katika jamii:
Tutambuane, Nani ni Nani katika Kudai Katiba Mpya
Na hasa nani ni wadai, wadaiwa, washirika, maadui na hata wasiohusika.
Hiiiiiii bagosha!
Mimi nitaendelea kumlaumu mdee na wenzie 18 kiukweli walikua watu pekee pale kupaza sauti katika hoja za msingi na sio kuwa kama hawajawahi kuwepo yaani kelele zote za akina esta bulaya zimezizima ni wazi kabisa kwamba mwanamke sio mtu wakutuongoza wala kutegemewa time yoyote atabadlika,mbowe asilaumiwe ammekuwa na kibarua kizito baada ya wenzie kuomba uraia nchi jirani na kupoteza hao 19,chadema sio chama cha familiaNajiuliza sana juu ya hili suala maana chama chetu hakijawahi kuwa na sucession plan nzuri.
Mbowe na familia yake walikuwa ndio Chadema. Mpaka sasa ni Chadema ni mali yao.
Sasa je, kama ikitokea akatiwa hatiani, je Chadema itasurvive?
Hoja za hao watu hapa JF, ndiyo inakufanya mtu mwenye akili uuone ukweli wa matokeo ya utafiti ule wa TWAWEZA uliosema kuwa CCM inapendwa zaidi na watu wasio na akili,