Kama kamanda Mbowe akitiwa hatiani, CHADEMA tutaweza ku-survive?

Kama kamanda Mbowe akitiwa hatiani, CHADEMA tutaweza ku-survive?

Mtoa mada unataka uambiwe mara ngapi? Mbowe akisha lewa huwa anasema kabisa CHADEMA ni mali yake. Akifungwa ndo imekufa hivyo maana hakutaka hata kuandaa warithi
 
Najiuliza sana juu ya hili suala maana chama chetu hakijawahi kuwa na sucession plan nzuri.

Mbowe na familia yake walikuwa ndio Chadema. Mpaka sasa ni Chadema ni mali yao.

Sasa je, kama ikitokea akatiwa hatiani, je Chadema itasurvive?
Mbona mwendazake na shujaa wenu hayupo na tz inaenda
 
Najiuliza sana juu ya hili suala maana chama chetu hakijawahi kuwa na sucession plan nzuri.

Mbowe na familia yake walikuwa ndio Chadema. Mpaka sasa ni Chadema ni mali yao.

Sasa je, kama ikitokea akatiwa hatiani, je Chadema itasurvive?
Kamanda Mchovu,unamaanisha unachosema ama unasema usicho Maanisha.
 
Kama ANC ya miaka hiyo iliweza na Mandela hayupo, kama ZANU iliweza na Mugabe hayupo basi CHADEMA sasa itadumu.
Cha kwanza ni kumtangaza Mbowe Mwenyekiti wa kudumu halafu kunakuwa na Katibu Mkuu tu na Makamu Wenyeviti
 
Hali ya sasa unaona ina dalili ya Chadema ku survive pasipo kuwepo Mbowe?
 
Hali ya sasa unaona ina dalili ya Chadema ku survive pasipo kuwepo Mbowe?
Tena hii ndio nzuri sana Itafanya Chadema ipate waungaji mkono wengi sana wanaoujua Mbowe kaonewa. Kikubwa tu ni kujua kumtaja kila jukwaaa kila kona hadi atakapomaliza kifungo.
 
Tena hii ndio nzuri sana Itafanya Chadema ipate waungaji mkono wengi sana wanaoujua Mbowe kaonewa. Kikubwa tu ni kujua kumtaja kila jukwaaa kila kona hadi atakapomaliza kifungo.
Chadema ita survive pasipo kuwepo Mbowe? suala la watu kuunga mkono Chadema inayo wengi sana tu hata sasa.
 
Mtoa mhataada unataka uambiwe mara ngapi? Mbowe akisha lewa huwa anasema kabisa CHADEMA ni mali yake. Akifungwa ndo imekufa hivyo maana hakutaka hata kuandaa warithi
Hata katiba mpya yeye Mbowe ndiye alikuwa akiidai sio Chadema ndio maana alivyoenda Rumande hakuna anayeidai wote wako kwenye maombi ya kuombea Mbowe tu na matamko Koko ya Mbowe sio gaidi!!!

Kuna ombwe kubwa Chadema .Mbowe ndio Chadema na Chadema ni Mbowe
.Huo ndio ukweli.Mbowe Ni mkuu kuliko hata Chama chenyewe.Ndio maana wengine wote walipokimbia Nchi akina Lisu na Lema .Yeye alibaki sababu alijua akikimbia Kama wao chama kinakufa!!! Akaamua kubaki kupigania chama wakati hao wengine wakiishia kubweka Twitter ,BBC radio na voice of America wakiwa kwenye mahandaki kwa wazungu uhamishoni!!!!
 
Mi nadhani chadema haita-survive ila wewe na tumbili wenzako kwenye pori la ccm mta-survive
 
Back
Top Bottom