Kama kamanda Mbowe akitiwa hatiani, CHADEMA tutaweza ku-survive?

Unajua kupambanua mambo?
Najua kuliko unavyofikiria.

Umeuliza kitu ambacho hakipo, halafu unaona una hoja. Kesi ya kutengeneza haiwezi kumyia mtu hatiani japo una uwezo wa kumtendea uovu.

Kwa mwenye uelewa, asingeuliza swali kama ulivyouliza. Labda angeuliza, 'hawa hayawani wakiamua kumfunga Mbowe, nani atakuwa kinara katika kuendeleza mapambano ya kudai katiba mpya?'
 
Najiuliza sana juu ya hili suala maana chama chetu hakijawahi kuwa na sucession plan nzuri.

Mbowe na familia yake walikuwa ndio CHADEMA. Mpaka sasa ni CHADEMA ni mali yao.

Sasa je, kama ikitokea akatiwa hatiani, je CHADEMA itasurvive?
Itakufa kama ilivyokufa ANC
 
huyu mwanzisha uzi ndiyo wale wanaovaa tisheti za katiba mpya kupinga katiba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…