Kama kamanda Muliro leo hataongelea njia Watekaji wanazotumia kuteka watu, bora akae kimya

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Salaam,

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dsm Muliro J. Muliro Leo tarehe 05 May 2025, ataongea na waandishi wa habari.

Kama hatongelea utekaji nashauri akae kimya tu.

Ndugu zetu wanapotea. Polisi wamevunja Miguu wananchi wa Tanzania.

Je, Utawala wa Sheria Tanzania umeishia wapi? Kwanini Polisi wanajichukulia Sheria Mkononi?
 
Hizo ni Ghiriba za kiutawala ili kuhadaa Watu. Hakuna lolote lile la maana utalisikia kwenye hiyo Press conference yake.

Kama utakuwa mkweli, utakubaliana na Ukweli mchungu Sana kwamba Wananchi wengi sana wanaamini kuwa hao Watu wanaojulikana sana kwa jina la "Watu Wasiojukikana" ambao wamekuwa wakihusishwa na matukio ya uhalifu wa Utekaji Watu, kutesa, kuwapoteza au kuua, ni Maaskari wa kutoka Polisi na TISS.
Ukifanya uchunguzi wa kina kabisa kwa kumuuliza mtu mmoja mmoja, jibu utakalopewa ni hilo hapa juu.
 
Rais wa TEC alimuumbua vibaya sana kwenye lile suala la kujeruhiwa kwa Padre Dr. Charles Kitima. Kama ningekuwa ndiyo yeye; aisee ningetangaza tu kujiuzulu hiyo kazi na kwenda kulima matikiti huko Mkuranga.
Huyu babu asivyo na akili mjinga alidhani anawasingizia CHADEMA ulevi, halina hata aibu badala ya kujihuzulu na kustaafu kwenda kulea wajukuu linatoa macho na sura mbaya kama panya kwenye mic
 
Salaam,

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dsm Muliro J. Muliro Leo tarehe 05 May 2025, ataongea na waandishi wa habari.

Kama hatongelea utekaji nashauri akae kimya tu.

Ndugu zetu wanapotea. Polisi wamevunja Miguu wananchi wa Tanzania.

Je, Utawala wa Sheria Tanzania umeishia wapi? Kwanini Polisi wanajichukulia Sheria Mkononi?
MULILO MSIMUAMINI, HIVI NI KABILA GANI?
 
Je, Utawala wa Sheria Tanzania umeishia wapi? Kwanini Polisi wanajichukulia Sheria Mkononi?
Mkulu amewaambia wafanya wanavyojua ilimradi yeye aendelee kukaa madarakani.

Amewapa Uhuru kwa kuwa ndio anawategemea kwenye Uchaguzi October.

Failed State.
 
Salaam,

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dsm Muliro J. Muliro Leo tarehe 05 May 2025, ataongea na waandishi wa habari.

Kama hatongelea utekaji nashauri akae kimya tu.

Ndugu zetu wanapotea. Polisi wamevunja Miguu wananchi wa Tanzania.

Je, Utawala wa Sheria Tanzania umeishia wapi? Kwanini Polisi wanajichukulia Sheria Mkononi?
The most hopeless police.
Yaani ana beba watu Kisutu ana kwenda kuwatupa Msituni halafu ana thubutu kusimama mbele ya kamera na kukeli watu kwamba hawaja kamatwa na polisi? Bado IGP ana endelea kumuacha ofisini. What a shame?? Kiongozi wa dini ana vamiwa kwenye makazi yake Muliro ana toa press ati alikua ana kunywa!!! Kuvamiwa ku a uhusiano gani na kunywa? Bado yuko ofisini!!!
 
Salaam,

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dsm Muliro J. Muliro Leo tarehe 05 May 2025, ataongea na waandishi wa habari.

Kama hatongelea utekaji nashauri akae kimya tu.

Ndugu zetu wanapotea. Polisi wamevunja Miguu wananchi wa Tanzania.

Je, Utawala wa Sheria Tanzania umeishia wapi? Kwanini Polisi wanajichukulia Sheria Mkononi?
waTanzania,
ni vizuri kuishi vizuri na watu katika jamii zinazotuzunguka na kwa heshima kubwa sana tuheshimu ndoa, biashara na familia za wenyewe. vinginevyo kwa kumendea wake za watu na kudhulumu mali au fedha za watu. kupotezana hakuta koma huku akisingiziwa asie husika :putinWalk:
 
Back
Top Bottom