figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Salaam,
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dsm Muliro J. Muliro Leo tarehe 05 May 2025, ataongea na waandishi wa habari.
Kama hatongelea utekaji nashauri akae kimya tu.
Ndugu zetu wanapotea. Polisi wamevunja Miguu wananchi wa Tanzania.
Je, Utawala wa Sheria Tanzania umeishia wapi? Kwanini Polisi wanajichukulia Sheria Mkononi?
Huyu babu asivyo na akili mjinga alidhani anawasingizia CHADEMA ulevi, halina hata aibu badala ya kujihuzulu na kustaafu kwenda kulea wajukuu linatoa macho na sura mbaya kama panya kwenye micRais wa TEC alimuumbua vibaya sana kwenye lile suala la kujeruhiwa kwa Padre Dr. Charles Kitima. Kama ningekuwa ndiyo yeye; aisee ningetangaza tu kujiuzulu hiyo kazi na kwenda kulima matikiti huko Mkuranga.
MULILO MSIMUAMINI, HIVI NI KABILA GANI?Salaam,
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dsm Muliro J. Muliro Leo tarehe 05 May 2025, ataongea na waandishi wa habari.
Kama hatongelea utekaji nashauri akae kimya tu.
Ndugu zetu wanapotea. Polisi wamevunja Miguu wananchi wa Tanzania.
Je, Utawala wa Sheria Tanzania umeishia wapi? Kwanini Polisi wanajichukulia Sheria Mkononi?
Mkulu amewaambia wafanya wanavyojua ilimradi yeye aendelee kukaa madarakani.Je, Utawala wa Sheria Tanzania umeishia wapi? Kwanini Polisi wanajichukulia Sheria Mkononi?
The most hopeless police.Salaam,
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dsm Muliro J. Muliro Leo tarehe 05 May 2025, ataongea na waandishi wa habari.
Kama hatongelea utekaji nashauri akae kimya tu.
Ndugu zetu wanapotea. Polisi wamevunja Miguu wananchi wa Tanzania.
Je, Utawala wa Sheria Tanzania umeishia wapi? Kwanini Polisi wanajichukulia Sheria Mkononi?
Huyu anatakiwa apate maradhi mabaya ateseke miaka mitano kabla ya kufa.Huyu babu namuombea kila siku afe haraka hana maana yoyote ni mkuu wa watekaji, ana kiburi, dharau na kejeli kwa watanzania.
SureHuyu anatakiwa apate maradhi mabaya ateseke miaka mitano kabla ya kufa.
waTanzania,Salaam,
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dsm Muliro J. Muliro Leo tarehe 05 May 2025, ataongea na waandishi wa habari.
Kama hatongelea utekaji nashauri akae kimya tu.
Ndugu zetu wanapotea. Polisi wamevunja Miguu wananchi wa Tanzania.
Je, Utawala wa Sheria Tanzania umeishia wapi? Kwanini Polisi wanajichukulia Sheria Mkononi?
Sio Mhutu kweli?π€MULILO MSIMUAMINI, HIVI NI KABILA GANI?