Kama kampuni ikikataa kunilipa pesa za pensheni, nifuate taratibu zipi?

Kama kampuni ikikataa kunilipa pesa za pensheni, nifuate taratibu zipi?

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Wakuu habari,

kuna kampuni iliyokuwa imeniajiri, sasa imekuwa kichwa ngumu kulipa pesa zangu za pensheni. Nimefatilia NSSF wananirusha kwa mwajiri, nikienda kwa mwajiri anakwepa.

kwakua salary slips zote ninazo, nipeni ushauri nifuate utaratibu gani kufanikisha hili niweze pata haki yangu?

Kwani nimezungushwa muda mrefu
 
Tafuta wakili mzuri asiyehongeka kiurahisi umuelezee hilo tatizo, hata mimi natafuta hela nimfungulie kesi aliyekuwa muajiri wangu maana tangia mwezi wa kwanza alinikata hela ya board ya mkopo, hela ya likizo yangu akaikata kodi na nssf na mwezi mmoja alionilipa baada ya kunisimamisha kazi akanikata nssf lakini mpaka leo hiyo hela hajaipeleka sehemu husika. Nimetunza salary slip hata kama ni mwaka 2020 lazima nimudai hiyo hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods hili tangazo vipi linaingia ktk comment yangu bila mm kuhusika

DJ sepetu
 
Tafuta wakili mzuri asiyehongeka kiurahisi umuelezee hilo tatizo, hata mimi natafuta hela nimfungulie kesi aliyekuwa muajiri wangu maana tangia mwezi wa kwanza alinikata hela ya board ya mkopo, hela ya likizo yangu akaikata kodi na nssf na mwezi mmoja alionilipa baada ya kunisimamisha kazi akanikata nssf lakini mpaka leo hiyo hela hajaipeleka sehemu husika. Nimetunza salary slip hata kama ni mwaka 2020 lazima nimudai hiyo hela

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafanya hivyo

Ananizingua mwaka mzima
 
Kampuni inakupatia mkono wa kwaheri, pensheni wanakupatia hao mfuko wako wa hifadhi Nssf. Connection kati ya mfuko wa hifadhi na kampuni yako katika suala la malipo ni barua ambayo inasainiwa na kampuni kuthibitisha kuwa mkataba wako umeisha au umeondolewa kibaruani na michango yote wamewasilisha...zaidi ya hapo ni wewe na nssf
Nssf nimeenda wananiambia hela haijatumwa,, nenda kwa mwajiri azitume ndo uje
 
Back
Top Bottom