Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Wakuu habari,
kuna kampuni iliyokuwa imeniajiri, sasa imekuwa kichwa ngumu kulipa pesa zangu za pensheni. Nimefatilia NSSF wananirusha kwa mwajiri, nikienda kwa mwajiri anakwepa.
kwakua salary slips zote ninazo, nipeni ushauri nifuate utaratibu gani kufanikisha hili niweze pata haki yangu?
Kwani nimezungushwa muda mrefu