Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Nitafanya hivyoTafuta wakili mzuri asiyehongeka kiurahisi umuelezee hilo tatizo, hata mimi natafuta hela nimfungulie kesi aliyekuwa muajiri wangu maana tangia mwezi wa kwanza alinikata hela ya board ya mkopo, hela ya likizo yangu akaikata kodi na nssf na mwezi mmoja alionilipa baada ya kunisimamisha kazi akanikata nssf lakini mpaka leo hiyo hela hajaipeleka sehemu husika. Nimetunza salary slip hata kama ni mwaka 2020 lazima nimudai hiyo hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema niandike barua ya kuishtaki NssfNenda CMA.
Hii haijakaa vizuri mkuu, wewe tafuta wakili mzuri then msimulie hiyo issue yako mwanzo mwisho. Hapo nssf hahusiki kabisa, mhusika hapo ni aliyekuwa muajiri wakoWanasema niandike barua ya kuishtaki Nssf
Fuata maelekezo yao.Wanasema niandike barua ya kuishtaki Nssf
Wamenipa majibu yasiyoelewekaFuata maelekezo yao.
PoleWamenipa majibu yasiyoeleweka
Pensheni haidaiwi kwenye CMA, mkuu! Ni mahakama za kawaida!Nenda CMA.
Nssf nimeenda wananiambia hela haijatumwa,, nenda kwa mwajiri azitume ndo ujeKampuni inakupatia mkono wa kwaheri, pensheni wanakupatia hao mfuko wako wa hifadhi Nssf. Connection kati ya mfuko wa hifadhi na kampuni yako katika suala la malipo ni barua ambayo inasainiwa na kampuni kuthibitisha kuwa mkataba wako umeisha au umeondolewa kibaruani na michango yote wamewasilisha...zaidi ya hapo ni wewe na nssf