wakenya wanajua kutofautisha masula nyeti ya kitaifa na masuala ya kisiasa,ingawa wanaweza kufanya tukio la kisiasa ila katika sura ya utaifa,mfano uchaguzi wa mwaka huu jamaa walijitoa sana,pia suala la katiba,walisahau tofauti zao za kikabila,kisiasa,kiitikadi nk wakasimama kama wakenya wakapata katiba yao,sisi hapa kwetu U CCM na U CHADEMA ukatuharibia katiba yetu licha ya kuwa katiba ni suala linalohusu wananchi wote,tukaishia kupoteza mabilioni tuu mpaka leo na katiba sijui kama itakuja patikana tena,tunaogopa tu suala la kumuondolea kinga raisi mpaka tunaharibu na katiba yote