kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Leo ndio nimeamini kuwa WAKENYA wana akili kubwa katika bara zima la Afrika.Katiba ya Kenya ni Kati ya Katiba bora katika Afrika.Katiba inayovipi mamlaka mihimili mingine kama Bunge na Mahakama.Katiba inayompa mipaka Rais Wa Nchi.Wakenya wana akili kubwa Kwa kutengeneza Katiba bora ambayo Leo tumeishuhudia ikiheshimiwa na Mahakama na Serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app