Kama kawaida yetu 'tumewaokota" wengine leo tumewapiga 9-0 katika Mechi Mazoezi nao

Kama kawaida yetu 'tumewaokota" wengine leo tumewapiga 9-0 katika Mechi Mazoezi nao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na ninavyowajua hao mliowafunga hizo Goli 9 kwa 0 leo ni kwamba 95% ya Wachezaji wao ni Wabwia Unga, Bangi na Mateja na nimeshangaa kuona mmewafunga Goli hizo 9.

Tarehe 13 August,2023 mtatukoma!!!!
 
Nan hao mateja walofungwa 9?????
Na ninavyowajua hao mliowafunga hizo Goli 9 kwa 0 leo ni kwamba 95% ya Wachezaji wao ni Wabwia Unga, Bangi na Mateja na nimeshangaa kuona mmewafunga Goli hizo 9.

Tarehe 13 August,2023 mtatukoma!!!!
 
Kwamba wamepiga bomu mochwari kumeja vinyesi
 
Kweli ukiwa ni Mbeya ni Mbeya tu! Kamwe huwezi kuwa Mtanga kama mimi.

Tunasikia tu kwenye vyombo vya habari timu fulani imebugizwa magoli mawili kwa mtungi huko na Waarab! Badala ya kufuatilia kujua nini chanzo cha hicho kipigo! Watu wako busy kufuatilia michezo ya timu isiyo wahusu!
 
Masela wa Manzese wamecheza na Uto timu itakayoshiriki caf,kumenyana na kina Zanaco na Rivers utd.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiih
 
Friends Rangers ni timu kubwa na imeonyesha upinzani mkubwa saaana hizi ndio timu za kujipima nazo .

Kama tumezifunga timu ngumu Transit Camp na Friends Rangers tena kwa idadi kubwa ya magoli unadhani ni nani wakutuzuia tusichukue CafCL?

DAH YANGA YAFIRIKA MBELE MWIKO NYUMA KUNA MWIKO.
 
Back
Top Bottom