Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Hukumu ya Mahakama iliyotolewa dhidi ya MADELEKA imemwacha pembeni mke wa mtuhumiwa ambaye walituhumiwa kutenda makosa wakiwa pamoja; kwa tafsiri nyingine ni kwamba mke amebaki kukubali plea bargaining lakini mme amekataa utaratibu wa plea bargaining;
Kwa kuwa mke hadi sasa kwa hukumu au maamuzi ya awali anakubaliana na ukweli kwamba alitenda kosa la Uhujumu uchumi; je nikatika mazingira gani mwendelezo wa kesi ya sasa hautamhusisha mke aidha kama shahidi au mtuhumiwa?
Wataalamu wa sheria tusaidieni tupate mwanga; charge sheet zitabaki na mtuhumiwa mmoja? endapo yapo makosa yaliyotendwa jointly na mke alishahukumiwa je MADELEKA ataonekanaje kwamba hakutenda? Kama hakutenda na maelezo ya kosa yanaonyesha walitenda na mke wake na mke anakiri kwamba tulitenda pamoja maamuzi yatazingatia kukiri kwa mke kama sehemu ya ushahidi kwa Jamhuri?
Kwako Kibatala na Jebra