Kama kesi za viongozi CHADEMA zilifutwa kutokana na maridhiano, kesi ya akina Mdee pia kumalizika kwenye Mkakati wa maridhiano

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Unapokwenda kwenye negotiation lazima ukubali baadhi ya Haki zako kulingana na terms za majadiliano.

Serikali chini ya CCM imeridhia na imethibitika hivyo kwamba mambo yafuatayo yakifanyika kama chadema walivyotaka basi nchi itakuwa tulivu;

1. Ruzuku ilikuwa Haki ya CHADEMA kulingana na wingi wa Kura za Urais lakini walikuwa awapewi kutokana na msimamo wao lakini pia vision ya awamu iliyopita ( siwezi kulisha then uingie barabarani kunikosoa)

2. Kesi zote za kisiasa zifutwe na tuanze maisha mapya ; mahakama kutokana na kujichimbia serikalini imefuta kesi zote ikiwemo za ugaidi.

3. Mikutano ya adhara nayo imeanza

4. Mashirikiano ya viongozi wa kisiasa pia yameanza Kwa Mhe. Rais kualikwa kushiriki maazimisho ya wanawake chadema.

Kwa upande wa pili; wapo wanawake wanateseka nafsi si Kwa Sababu walitaka KUJIUNGA na CCM Bali walikamatwa wakapelekwa kwenda kuapa, yamkini wangekataa Leo wasingekuwa kwenye siha njema.

Nani ajuaye. Mbowe na viongozi wengine wa chadema wanaelewa kabisa kwamba akina Halima waliburuzwa na mfumo, kama ambavyo Lisu na Lema waliokimbia nchi basi hawa wanawake kimbilio lao lilikuwa kujisalimisha kwenye chama cha majanga wapate hifadhi.

Kama chadema walifurahia kupata mambo manne hapo juu lazima walikubali pia kuachana na Ubunge WA COVID 19 na kwamba vyoyvyote itakavyoenekana inafaa basi wasiendelee kuwadhalilisha wanawake hawa mahakamani

Tunakumbuka kesi ya Mbowe, ilivyoonekana inasumbua Sana serikali iliacha kusikilizwa ikafitwa; kuhojiwa akina Mdee nikuendelea kudhalilisha mahakama iliyotia sahihi fomu zao kinyume cha sheria ikiwemo fomu ya maabusu Nusrati, Bunge lililowaapisha Kwa nyaraka za kugushi na serikali iliyosimama wakaanza kulipwa stahiki.

Chadema kubalini yaishe kama ambavyo ccm wamekubali yaishe, tuanze ukurasa mpya Kwa pamoja.
 
Tutakubali covid 19 warudi lakini kama wanachama wa kawaida ambao watapitishwa kwenye screening kubwa na badae tutawaondoa kwa utaratibu wa kichama
 
Newver, kesho hao watasaliti tena, unless it was a drama organized by Chadema! short of that haitakuwa sawa! Anyway wanaweza kuja kama wanachama wa kawaida na si viongozi
 
Hujui kuwa chadema ndio waliorganize?
 
Unapokwenda kwenye negotiation lazima ukubali baadhi ya Haki zako kulingana na terms za majadiliano.

Serikali chini ya CCM imeridhia na imethibitika hivyo kwamba mambo yafuatayo yakifanyika kama chadema walivyotaka basi nchi itakuwa tulivu;

1. Ruzuku ilikuwa Haki ya CHADEMA kulingana na wingi wa Kura za Urais lakini walikuwa awapewi kutokana na msimamo wao lakini pia vision ya awamu iliyopita ( siwezi kulisha then uingie barabarani kunikosoa)

2. Kesi zote za kisiasa zifutwe na tuanze maisha mapya ; mahakama kutokana na kujichimbia serikalini imefuta kesi zote ikiwemo za ugaidi.

3. Mikutano ya adhara nayo imeanza

4. Mashirikiano ya viongozi wa kisiasa pia yameanza Kwa Mhe. Rais kualikwa kushiriki maazimisho ya wanawake chadema.

Kwa upande wa pili; wapo wanawake wanateseka nafsi si Kwa Sababu walitaka KUJIUNGA na CCM Bali walikamatwa wakapelekwa kwenda kuapa, yamkini wangekataa Leo wasingekuwa kwenye siha njema.

Nani ajuaye. Mbowe na viongozi wengine wa chadema wanaelewa kabisa kwamba akina Halima waliburuzwa na mfumo, kama ambavyo Lisu na Lema waliokimbia nchi basi hawa wanawake kimbilio lao lilikuwa kujisalimisha kwenye chama cha majanga wapate hifadhi.

Kama chadema walifurahia kupata mambo manne hapo juu lazima walikubali pia kuachana na Ubunge WA COVID 19 na kwamba vyoyvyote itakavyoenekana inafaa basi wasiendelee kuwadhalilisha wanawake hawa mahakamani

Tunakumbuka kesi ya Mbowe, ilivyoonekana inasumbua Sana serikali iliacha kusikilizwa ikafitwa; kuhojiwa akina Mdee nikuendelea kudhalilisha mahakama iliyotia sahihi fomu zao kinyume cha sheria ikiwemo fomu ya maabusu Nusrati, Bunge lililowaapisha Kwa nyaraka za kugushi na serikali iliyosimama wakaanza kulipwa stahiki.

Chadema kubalini yaishe kama ambavyo ccm wamekubali yaishe, tuanze ukurasa mpya Kwa pamoja.
Kesi ya mdee na wenzake inahusu Chadema tu , haihusiani na wengine
 
Mdee anaomba radhi

..tatizo la kina Halima hawako tayari kuachia ubunge.

..sasa wakifuta kesi yao watakuwa wamekubaliana na uamuzi wa kufukuzwa ktk chama.

..Na kama wakikubali kuwa wao sio wanachama wa Chadema ubunge wao
utakoma mara moja.
 
Bunge lililowaapisha Kwa nyaraka za kugushi na serikali iliyosimama wakaanza kulipwa stahiki.
Kughushi ni kosa la jinai, na lilipaswa kuripotiwa ili uchunguzi wa kijinai ifanyike kuthibitisha jinai hiyo, lakini hakuna mahali popote Chadema imeripoti kuhusu jinai hiyo, kilichofanyika ni vikao vya a kangaroo court kukaa na kutoa maamuzi ya kikangaroo na kuwatimua!. Tena kwa Halima Mdee, CC ya Chadema sio mamlaka yake ya nidhamu, CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka kumtimua Mwenyekiti wa Bawacha?!.
Chadema kubalini yaishe kama ambavyo ccm wamekubali yaishe, tuanze ukurasa mpya Kwa pamoja.
Hili tayari limekubaliwa na leo litatangazwa rasmi.
P
 
Hawana mfupa huo,na hapo ndo wanafeli pakubwa. Unapoamua kuanza upya maana yake umefunika yote yaliyopita, na huo ndo uungwana. Nakumbuka Mbowe aliwahi kusema " Nani angeeamini Mdee angesaliti mapambano?" Ko lazma tukumbuke kipindi kile wanasiasa walipitia wakati gani. Hivi CCM kumkaribisha tena Lowassa na mwanae kuwa mbunge pamoja na muyimbo alowapa 2015 bado watu hamjifunzi. Those MPs are political asserts, kama ambavyo naona kila dalili Dr.Slaa akirejea tena kuwa katibu mkuu tena. Slaa si mzee sana wa kutofanya siasa, sema utaratibu huu wa kupuuza watu ndo ulozaa hayo yote.
 
Back
Top Bottom