Kama kijana hakikisha unakuwa karibu na Tajiri kwa vyovyote vile.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kama kijana Hakikisha unakuwa karibu na Tajiri .

Tajiri watu muhimu Sana hawana baya .

Na ukiwa na urafiki na Tajiri usiombe. Pesa omba connection tu . Na msalimie kwa maneno mafupi kwa kuanza na nomino pia tumia lugha ya mkato na sio vifupisho.

Tajiri anapenda kujulikana uwepo wake hakikisha unamtambulisha kwa Capital letter herufi kubwa.
 
MZEE UNATUFUNDISHA UCHAWA NA SISI TUWE KAMA KINA KITENGE
 
Unawafundisha hawa vijana wa ovyo , wazidi kupakwa mgando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…