Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Sio kwa ubaya lakini, ni kwa wema tu.
Mimi sio shabiki wa chama au mtu yeyote ingawa nina kadi mpya ya CCM kwenye kabati langu.
Ni kawaida na imezoeleka sasa kila jambo zuri au linalokaribia uzuri viongozi wateule na ma influencer humwagia sifa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Sawa hatukatai , yes kafanya nasi tunampongeza kwa uchapa kazi.
Hii pia maana yake ni kwamba kila jambo katika nchi hii iko guaranteed mikononi mwa Rais.
Hata mambo mengine ambayo yako hasi pia tumtwike Rais.
PIA SOMA
- Wanaomsifia Rais Samia kwa kila kitu na kichekesho kilichoandikwa karibu miaka 80 iliyopita
- Wanaomwibia Rais Samia ndio wanalipa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kumsifia anaupiga mwingi! Anawajua?