Kama kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya binadamu ni mpango wa Mungu then kwanini Wakristo na Waislamu hufanya jambo hili?

Kwa hiyo akujua mwanadamu atakuja kukoseshwa na shetani alie muumba yeye ,kma alijua kwanini asingeepuka huo mtego toka mwanzo , hauoni kuwa aliumba ili wengne waende motoni makusudi? na kma Mungu akuumba dhambi kwa nini tuseme aliumba kila kitu ?
{ وَمِنَ ٱلنَّاسِ مَن يُجَٰدِلُ فِي ٱللَّهِ بِغَيۡرِ عِلۡمٖ وَيَتَّبِعُ كُلَّ شَيۡطَٰنٖ مَّرِيدٖ }
[Surah Al-Ḥajj: 3]:
Na miongoni mwa watu wapo wanao bishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu, na wanamfuata kila shet'ani aliye asi.
{ كُتِبَ عَلَيۡهِ أَنَّهُۥ مَن تَوَلَّاهُ فَأَنَّهُۥ يُضِلُّهُۥ وَيَهۡدِيهِ إِلَىٰ عَذَابِ ٱلسَّعِيرِ }
[Surah Al-Ḥajj: 4]
Ameandikiwa kwamba anaye mfanya kuwa rafiki, basi huyo hakika atampoteza na atamwongoza kwenye adhabu ya Moto mkali.
 
Hii mimi si aina ya watu wanaotishika na mambo ya hadithi za moto , bora hiyo mambo utafute wanyonge wengine uwaambie ila sio mimi kamwe.
 
Huko kutubu dhambi,pia ni mpango wa Mungu.
 
Huu uumbaji ni kama kompyuta ikishatoka huko inakuwa installed na driving softwares full ikija huku inajiendesha yenyewe. Ukitaka uyafurahie haya maisha jichagulie mambo ambayo kwako ni baya usiyafanye na mazuri uyafanye, Mungu anakuja pale ambapo umeshindwa kufanya Kila kitu lakini ukitaka Kila kitu afanye yeye unakufaa na misimamo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…