Yani kun watu wanapendwa kuitwa wanyonge. Halafu kuhusu ATCL kutengenza faida hata mendazake akiwa hai jmbo hili liliwahi kutajwa bungeni sema likazimwa ni vile tuna kumbukumbu fupi.wanajinafasi kwa unafki ila nafsi zinawasuta
Nafurahi kuona baadhi ya wadau wanaendelea kumlamba miguu
Kuna watu wakiona huu uzi wanaweza wakasema nimeandika mimi.Na. M. M. Mwanakijiji
Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.
Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.
Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.
Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.
Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Upinzani uko kwenye damu yangu;
Hata wewe utakufa tu ni swala la muda tuuuu.Lakini legacy ya Magufuli itaanza ku shine muda si mrefu tunasubiri haya matamko yaliyotolewa juzi yabadilishwe kuwa sheria ndipo mtaamini kuwa Magu alikuwa geneus.Watu walishajaribu kuharibu legacy ya nyerere ikawashinda. Kuharibu legacy ya Magufuli labda upige mabomu na kuiteketeza miradi iliyokwisha fanywa. Tena msipoimalizia ndiyo mtapata maswali magumu kuliko.Ashazimwa huyo mtu wenu.
Inabidi MATAGA mkubali kuwa mliyemfanananisha na yesu kesha kufa.
Hakuna mtu mwenye akili atawaamini hao waramba miguu wa JiweNi kikundi cha propaganda kinaendeleza propaganda yani wanapindisha maneno nahawakuanza leo. Prof Assad alisea 1.5 tillion hazionekani zilipo, eti mwenda zake akamuuliza eti report yako inasema kuna wizi wa 1.5 tilion? Assad akajibu hapana.
Na alifanya kusudi tu maana Assa hakusema zimeibwa ila alisema matumizi yake hayajulikani.
Sasa wanataka kutumia popaganda kuishusha report ya CAG kwa kugeuza maneno na wajinga wajinga watawaamini.
Nimeiona sana, pamoja na hayo nilioandika hapo. Sijaweka tu hizo key words makusudi, nilitaka muuliza swali akamsome upya mwanakijiji huenda ataona hicho tulichokiona wewe na mimiKuna point ya kumsafisha Magu ambayo hujaiona Mkuu.
Anyway, kazi ya fasihi siyo lazima wote tuelewe sawa.
Anapotosha makusudi yani anageuza maneno huenda ana report yake.Umeandika kama umechanganyikiwa! Hakueleweki unamaanisha nini..Ni kama uliandika huku unalia! Kwasababu hata hoja unazosema hazipo, unavyosema miradi mliyoambiwa imefanyika kumbe haijafanyika! Hakuna mtu yoyote aliyesema miradi haijafanyika, bali imefanyika lakin kuna ufisadi mkubwa sana humo. Na hilo ni wazi. Kila mtu anajua mwendazake alikuwa hataki kusikia kitu kingine zaidi ya sifa, hivyo hata kumtoa Assad kumuingiza Kichere alikuwa anataka amuweke mtu anaemmudu. Usijisahaulishe chini ya Magu ofisi ya CAG ilipunguziwa bajeti yake ili isifanye kazi ya kuchimba kwa kina madudu ya Magu. Usijisahaulishe
Hapa issue ni ufisadi wa kutisha chini ya magufuliTunao mfano wa Kadata : The guy is the most efficient and very innovative in tax collection, na hata miradi Mikubwa Mwendazake he begun to finance during Kadata tenure, Prucurement of new aircrafts, Nyerere dam financing conception and etc. Lakini ana mkono mrefu.
Sasa mkiwa mnashida mnatumia werevu wake kwa kile wataalamu wengine hawana, mkimalizana anaenda.
Hongera sanaMajizi kutoka nje ya chama au walewale kama Pombe?
CAG katoa hoja kisiasa hilo liko wazi. Shida ya watanzania ni wafuata upepo, NDUNGAI kawaingiza chaka kwa kuwaletea kahoja ka bandari ya bagamoyo ili muanze kumsifu, huku mkisahau kwa report hiyohiyo ya CAG imetoa matumizi yenye mashaka kwenye ofisi ya speaker.Leo mnasifia speaker mmesahau pia kuwa kuna irregularities ofisi ya spika.Endeleeni na political audit report, ila kumchafua Magufuli mtafanikiwa kwa muda mfupi usiozidi miezi sita baada ya hapo mtaimba legacies za magufulibabu nakumbuka 2015 nilikuonya kuhusu njia uliyochagua ya kushabikia utawala kisa mtu waliyemsimamisha kugombea urais ni wa kanda moja na wewe.
hiki kilichotangazwa na CAG ni kama kimekuvua nguo hadharani, huamini macho yako,umepigwa na bumbuwazi. pole sana babu. hayo ndio matokeo ya ushabiki maandazi.
huamini macho yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Legacy ipi Hiyo? Msahau tuHata wewe utakufa tu ni swala la muda tuuuu.Lakini legacy ya Magufuli itaanza ku shine muda si mrefu tunasubiri haya matamko yaliyotolewa juzi yabadilishwe kuwa sheria ndipo mtaamini kuwa Magu alikuwa geneus.Watu walishajaribu kuharibu legacy ya nyerere ikawashinda. Kuharibu legacy ya Magufuli labda upige mabomu na kuiteketeza miradi iliyokwisha fanywa. Tena msipoimalizia ndiyo mtapata maswali magumu kuliko.
Tutadeal nao majambazi wakubwa I am so frustrated to the extent of no return .nilisupport hili chama Kwa Yale aliyotufanyia Ila Kwa hapa tutawafagilia mbali.Isee kilaa mtu amebaki kinywa wazi..
.ndio maana mama alisema asome report ili waanike upumbavu
Eti hamna shule kongwe zilizorekebishwa..ilihali shule zote zimerekebishwa
Jamaa kajenga ukuta wa aina yake mererani...ila tunaambiwa hauna maana
Jamaa kajenga stand. Ila tunaambiwa inaleta foleni Moro
Kwamba usanifu wa Bwawa la Nyerere ni wa zamani
Siasa ni ushetani!..nimeamini usimuamini hata ndugu yako/mzazi.
Legacy ya kuwa kiongozi wa kwanza kuwachia ufisadi wa hatari kushamili nchini?Hata wewe utakufa tu ni swala la muda tuuuu.Lakini legacy ya Magufuli itaanza ku shine muda si mrefu tunasubiri haya matamko yaliyotolewa juzi yabadilishwe kuwa sheria ndipo mtaamini kuwa Magu alikuwa geneus.Watu walishajaribu kuharibu legacy ya nyerere ikawashinda. Kuharibu legacy ya Magufuli labda upige mabomu na kuiteketeza miradi iliyokwisha fanywa. Tena msipoimalizia ndiyo mtapata maswali magumu kuliko.
Unawajadili upinzani kwa chuki kubwa.. pole sanaIwavyo vyovyote kama alisimama pale hadi jamaa anatutoka maana yake alishirikiana nae. So na yeye ni mwizi tu. Kama wanadhani kumchafua JPM kutawaacha wao salama basi wanajidanganya. Kichekesho ni kuwa hata wapinzani nao wameungana kutuchezea hii futuhi,wangesimama pembeni na ngojera hizi then wakaenda kwa wananchi kuwaambia tu kuwa kama rais alikuwa hivi basi na mfumo mzima wa ccm ukijumuisha hawa waliobaki wote umeoza tuutoe kuweka wengine wangepata sapoti kubwa sana. Sasa kwa sababu wanaongozwa na chuki binafsi kwa mwendazake hata fursa hii waneshindwa kuitambua wamejiunga
Vyovyote iwavyo kama alisimama na jamaa hadi mwisho anahesabika kuwa alikubaliana na kilichotokea
Mzee Mwanakijiji bila shaka unafahamu kuwa serikali inaendeshwa kwa mujibu wa katiba na sheria. Aidha kunatakiwa kuwe na uwazi katika matumizi ya rasilimali za nchi. Kinyume chake ni uhaini na ufisadi.Na. M. M. Mwanakijiji
Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.
Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.
Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.
Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.
Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Kubalinini matokeo kuwa sasa hamna tena sehemu ya kwenda kuuza umbeya na unafiki.Hata wewe utakufa tu ni swala la muda tuuuu.Lakini legacy ya Magufuli itaanza ku shine muda si mrefu tunasubiri haya matamko yaliyotolewa juzi yabadilishwe kuwa sheria ndipo mtaamini kuwa Magu alikuwa geneus.Watu walishajaribu kuharibu legacy ya nyerere ikawashinda. Kuharibu legacy ya Magufuli labda upige mabomu na kuiteketeza miradi iliyokwisha fanywa. Tena msipoimalizia ndiyo mtapata maswali magumu kuliko.
Kwenye Public finance ufisadi, upo iwe Ulaya, Marekani, China, African countries, vita ipo on to what extent that embesement can be torarated?Hapa issue ni ufisadi wa kutisha chini ya magufuli